AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 722
- 2,123
Kwani huyo Diddy alikua na nguvu kiasi gan ktk muziki wa [emoji631].
had hao wasanii kuharibiwa nae? LOL
Unataka kujua nguvu yake?!
Tumuulize kamara harisi
Maana nae alisambaziwa upendo wa futa. Hili jambo ni zaidi ya jinsi linavyopigiwa kelele kwenye media