Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

Orodha ni ndefu sana kuanzia justin bieber mpaka Lil bow wow,
Orodha ni ndefu sana,na wameanza kujitaja na kutajana baada ya kugindua mamlaka ina ushahifi wa wapakwa mafuta wote ,
Nasubiri Nifah aanze kutumwagia facts hapa JF.

Sauti ya Burner Boy imesikika akinegotiate mkataba.

Najua ya kijana wetu nayo itatujia.

Very shame
 
M
Orodha ni ndefu sana kuanzia justin bieber mpaka Lil bow wow,
Orodha ni ndefu sana,na wameanza kujitaja na kutajana baada ya kugindua mamlaka ina ushahifi wa wapakwa mafuta wote ,
Mamlaka lazima watakuwa na videos zote
 
Kwani huyo Diddy alikua na nguvu kiasi gan ktk muziki wa [emoji631].
had hao wasanii kuharibiwa nae? LOL
Never let anyone fool you into believing that they didn't pay heavy price for their success. Most pathways to success have gatekeepers who make sure that random people can't just walk in. Only those they give their 'blessings' can rise to the pinnacle..... c&p
 
Mwendo ni ule ule mpaka Jela, Maafande kazi wanayo.
downloadfile.jpg
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    22.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom