Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

Ogopa sana mtu anayetaka kuonekana mwema. Huyo Diddy alikuwa na kampeni yake mitandaoni ya kusambaza upendo (LOVE) hadi mwanae akamwita LOVE. Kumbe ni mshenzi mno. Hana tofauti na RC fulani ambaye hujifanya ni mkristo kuliko Yesu.
Bila shaka huyo RC ni Paulo Makonda au wengine wanamuita Bashite
 
Back
Top Bottom