Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

Diddy sio Alpha na yeye alikua akitumika tu na hao waliokuwa wanawa control Wasanii, list ni ndefu mpaka Viongozi wa siasa na maraisi. Diddy hana ubavu kum blackmail Kamala, Trump ama mtu kama Prince wa Uingereza.
kama wana nguvu kiasi hicho cha kublackmail mpaka wanasiasa wakubwa inakuaje wameshindwa kulizima hili sakata. Yani vipolisi vya L.A vinawezaje kufichua maovu ya watu wenye nguvu ya kublack mail mpaka rais, au kuna mwenye nguvu pia yuko nyuma ya vipolisi vya L.A
 
Back
Top Bottom