Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Mimi nipo Tabora mkuu na njia rahisi isiyokuwa na gharama ni mbeya to mtwara ila kwasababu naichukia mbeya bora nipite manyoni,Dodoma, morogoro,dar,lindi to mtwara! Naichukia mbeya
ha ha ha Mbeya hata mimi ule mkoa nauchukia siwezi kuishi. wana uhuni wa kipuuzi kama vijana wa kwetu wa kimeru. Arusha wanaoing'arisha ni wachaga, vijana wa kimeru tumekalia uhuni wa kifalafala.
 
Kule watu wa Tukuyu, mwakaleli , ndio wastaarabu, waliobaki wote washamba tu, burudani ziende singida, tanga, kigoma, tabora, mtwara, lindi, ruvuma, mwanza, mara nako hawana shida, shinyanga, iringa, geita, simiyu, na kadhalika
 
kwani musipopeleka huko burudani (kampeni za ccm) mbeya wao watapata Hasara gani? burudani zenyewe munakusanya mashoga wanaenda kufinyana makalio huko hotelini laana zinabaki.

Hata Arusha hatuwataki mwaka huu mukija tutawaonyesha vile hatupendi hizo mambo za kunyonyana miku...nd

Mkoa wa mbeya umetoa viongozi wakubwa wa Kiroho hizo dhambi pelekeni kwa Pdidi akawa pidiaidi
 
Mbeya hata akitoka house girl basi huja na upako........maana kule kira kitu kina upako kuanzia wasanii ,wachungaji ,matajiri wa masharti,sijui supika wa lijamuhuri..............nk
 
kwani musipopeleka huko burudani (kampeni za ccm) mbeya wao watapata Hasara gani? burudani zenyewe munakusanya mashoga wanaenda kufinyana makalio huko hotelini laana zinabaki.

Hata Arusha hatuwataki mwaka huu mukija tutawaonyesha vile hatupendi hizo mambo za kunyonyana miku...nd

Mkoa wa mbeya umetoa viongozi wakubwa wa Kiroho hizo dhambi pelekeni kwa Pdidi akawa pidiaidi
Kama hutaki baki nyumbani kwa nini ukafanye fujo? Kumbuka wewe ni binadamu sio sokwe unatakiwa uwe na sense.
 
na nyie kwanini musibaki Huko dar munawatisha watu wa Mbeya. Mtu hanyimwi kuwa na hisia mchanganyiko wanaoshangilia wana haki sawa na wanaorusha Chupa
 
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Haya mapovu yote kwani kimetokea nini? 🤣🤣🤣

Hakunaga mwaisa fala
 
Tuheshimiane
 
Wamewanyoosha waswahili 🙄🤪

Walaumuni Machadema wenzenu ndio wanawafundisha hao watu wa huko tabia za ujeuri na ubabe 🤪🤪👇👇

View: https://x.com/fatma_karume/status/1840375076870300126?t=OWstdIfCOve5Q2rcUxQ4Fw&s=19
 
Watu wengine mnakua kama magasho (I feel like kuna ulazima wa kuondoa hilo neno KAMA), I mean wewe binafsi unafaidika nini na majengo makubwa, international offices zilizopo hapo mkoani kwako?
Ubaya au uzuri wa sehemu inategemeana na kiasi cha pesa unachotengeneza na furaha unayopata.

Wengi wenu mnang'ang'ania huko mnakoita mijini ilhali hakuna chochote cha maana mnachofanya, no wonder mnaishia kuwa mario, kuuzishwa unga na kushikishwa kuta ili m fit in lakini moyoni mna depression mbaya mbovu!
Si ajabu kina Mwaisa wamewa pi didy ..Njaa zao ndio zimewaleta Mbeya?
 
Mbeya ni mji uliojaa watu wanaopenda vurugu ushamba ni mwingi sana Mbeya. Unyani bado ni mwingi sana Mbeya ndio maana watu wenye akili zao hawaendi kuwekeza Mbeya.
Mbeya haihitaji wanaopumuliwa kuwekeza.

Kwa taarifa Yako tuu wewe ni mjinga usiyejitambua.

Mbeya ndio Mkoa namba 3 Kwa Ukubwa wa Uchumi Nchi hii na haitegemei Serikali.

Njaa zenu ndio ziliwaleta Mbeya na uwekezaji unaendelea 🤪🤪🙄👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAY_dwkoMnr/?igsh=cWR6cGdudnE1anp6
 
Back
Top Bottom