Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
 
Kule wapeleke maandamano tu
 
Tulia kidogo tueleze unataka kusema nini. Hilo ni bonde la ufa, kujenga majengo marefu Kuna restrictions sasa wewe unapayuka tuu, nenda kafanye biashara Mbeya ndio utajua Kuna pesa au la.

Watu wanalisha Congo, Malawi na Zambia kwa ubunifu wewe unaleta manyoka. Urefu au udongo wa mjini utalinganisha na hali ngumu Kawe, Manzese na Tandika, jitahidi sana kulipa tozo ili maisha yasonge.
 
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Wasipeleke burudani, pesa awape nani Pididi?
 
Tulia kidogo tueleze unataka kusema nini,Hilo ni bonde la ufa,kujenga majengo marefu Kuna restrictions sasa wewe unapayuka tuu,nenda kafanye biashara mbeya ndo utajua Kuna pesa au la,watu wanalisha Congo,Malawi na Zambia kwa ubunifu wewe unaleta manyoka.Urefu au udongo wa mjini utalinganisha na hali ngumu kawe,manzese,na Tandika,jitahidi sana kulipa tozo ili maisha yasonge.
Kwani jengo kubwa lazima liwe refu?😂

Mbeya kuleni maviazi na maparachichi mambo ya kijanja na kistaarabu achieni miji inayojielewa.
 
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Hao wajinga unaiwaita wasanii hawaji Mbeya kuleta 'burudani' eti wanatufanyia hisani, kuna maslahi wameona wanapata. Miaka nenda rudi tumekuwa na maonesho kama KINASA WAZI na MAKANTA, tuna wasanii wa kweli kama vile Nala Mzalendo, Izo, Rap Tempaz, Nyabhingi, Daicon Unique, Mbeya Boy Chuma, Jadah n.k, na huku ndio chimbuko la wakali kama Vina na P the MC, so tuko sawa bila hao wasanii wenu wavaa hereni na vikuku ma girlfriend wa Diddy.
 
Unaongelea wasanii alafu unataja majina ya wavuta bange wanaopenda umaarufu, yani Mbeya 😂😂
 
Kwani jengo kubwa lazima liwe refu?😂

Mbeya kuleni maviazi na maparachichi mambo ya kijanja na kistaarabu achieni miji inayojielewa.
Bahati mbaya Tanzania Haina mji wa kijanja hata mmoja,nilitamani ianzishwe mji wenye vibe kama Dubai au Mexico watu wawe kama vichaa kwenye utafutaji, Airlines Kali achana na hayo mashimo ya DSM,hapo buda hamna kitu,hata ukienda Montreal au Zurich utagundua kuwa tunaoigwa bao na kelele za wanasia wakati hayo majengo marefu hapo DSM hayana watu yako matupu.Ni wakati wa kuisimamai Tanganyika na na sio Tanzania
 
Watu wengine mnakua kama magasho (I feel like kuna ulazima wa kuondoa hilo neno KAMA), I mean wewe binafsi unafaidika nini na majengo makubwa, international offices zilizopo hapo mkoani kwako?
Ubaya au uzuri wa sehemu inategemeana na kiasi cha pesa unachotengeneza na furaha unayopata.

Wengi wenu mnang'ang'ania huko mnakoita mijini ilhali hakuna chochote cha maana mnachofanya, no wonder mnaishia kuwa mario, kuuzishwa unga na kushikishwa kuta ili m fit in lakini moyoni mna depression mbaya mbovu!
 
Back
Top Bottom