Chid ni sikio la kufa alipelekwa rahabu Bagamoyo ili aache madawa alitoka kule kanawiri na mwili ulianza kuja matokeo kaludi kulekule mwenzie Rey C alivyoshikwa akashikika lakini sio BenzinoHuyu kashakosea.. alitoka nje ya mstari na mm naamini alivyokua kwenye dira yake na michongo alisaidia watu. Alikula na kugawana na watu, aliwa-inspire wengine na alikuwa kioo na mfano. Leo hii mud wake umepita kama ilivyo na itakavyokuwa kwa wengine.
Watanzania tumpiganie, watu walijivunia sana uwepo wake enzi hiyo Chi chi chi chidy ben'gq
Mpuz yule anauendekeza ungaJuzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndani
Yeye hiyo hali yake anaifanya kama mtaji kutwa kulialia tuTatizo la
Chid ni sikio la kufa alipelekwa rahabu Bagamoyo ili aache madawa alitoka kule kanawiri na mwili ulianza kuja matokeo kaludi kulekule mwenzie Rey C alivyoshikwa akashikika lakini sio Benzino
😀😀😀😀mbona unamshambulia super star wetu wee jamaaMpuz yule anauendekeza unga
Anataka abembelezwe mida wote
Anakaa msasani bonde la mpunga kwa kina said makamasi
Na wote mateja
Ova
Hivi zile show wanazokuwa wanafanya dstv mfano huwa wanalipwa bei gani??? vile vipindi wanahost kwamba huwa ni hela mbuzi haitoshi mtu kujipata hata kwa hela ya kukidhi mahitaji.Chid hayupo tayari kile kidonda kipone. Ameshafanya mtaji wa kumuingizia buku buku za ngada
Ujuaji mwingi ndio unamponza
Wanaotaka kumsaidia wampeleke hospital na sio kumpa pesa. Japo yeye hataki msaada huo, yeye anataka pesa then atajua cha kufanya
Wanaotaka kwenda kumuona kabla hajafa, Yupo pale ilala boma, kituo cha shule msingi kwenye zile kota ndio mitaa yake
Aisee sina ufaham nazo, hizi pesa mbuzi, chid anazipataga sana. Shida n moja akipata tu hizo pesa ni unga, pombeHivi zile show wanazokuwa wanafanya dstv mfano huwa wanalipwa bei gani??? vile vipindi wanahost kwamba huwa ni hela mbuzi haitoshi mtu kujipata hata kwa hela ya kukidhi mahitaji.
Mkuu chid anashinda maeneo ya tip top bar kule zaid ya mara moja nishamuona nikaambiwa uwa anashinda ndani ya hiyo bar jamaa kachoka hata nguo kubadilisha ni mbinde yupo na crocs zake mguuni siku zote nazomuona ni yupo mtungi.Kweli maisha usipojipanga yanakupanga. Chid huyu huyu kafika hapa. noma sana
Nadhani tatizo lipo hapo kwenye tabia yake ya kuropoka ropoka ovyoWanamkimbia huyo siku hizi, hana kitu lakini kiburi na maneno ya shombo, hata akisaidiwa shukrani hana
Said nani mkuu 🤣🤣🤣🤑Mpuz yule anauendekeza unga
Anataka abembelezwe mida wote
Anakaa msasani bonde la mpunga kwa kina said makamasi
Na wote mateja
Ova
Chid anajuana na watu wengi Sanaaaa na hata akienda kwa mtoto wa Dr.mvungi pale kinondoni B (kinondoni hospital) Mbona brother Lufunyo angemsaidia..Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Kuna jamaa nimemkuta nae ana hilo tatizo mbaya zaidi mguu haufungi kidonda kimechimba vibaya ingawa kuna mmoja nilishuhudia aliwahi tibiwa akapona kabisa akawa anatembea hivyo hivyo anakikanyagia kidonda yaan bonge la donda yeye alimegeka kisigino ila sasa hivi kapona na jamaa ni km kichaa hivi walijitoa wasamaria wema wakamfunga bandage na madawa ya hapa na pale hospitali sasa hivi kapona kabisa mzima kidonda kimefunga, narudia jamaa ni ChiziHamna cha utajiri wowote hapo jamaa anaumwa Ila ndo hivyo no body care.
Ulikutana naye maeneo yapi? Huwa anakujaga msasani pale maandaz road maskani moja ya mateja nshakutana naye mara mbili asubuhi ..hali ya mguu ni mbaya kweliJuzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndani
Sure msasani ndo maskani yake kubwaMpuz yule anauendekeza unga
Anataka abembelezwe mida wote
Anakaa msasani bonde la mpunga kwa kina said makamasi
Na wote mateja
Ova
Basi huyu jamaa ana maskani nyingi sana, me msasani ndo mamuonaga mara kwa maraChid hayupo tayari kile kidonda kipone. Ameshafanya mtaji wa kumuingizia buku buku za ngada
Ujuaji mwingi ndio unamponza
Wanaotaka kumsaidia wampeleke hospital na sio kumpa pesa. Japo yeye hataki msaada huo, yeye anataka pesa then atajua cha kufanya
Wanaotaka kwenda kumuona kabla hajafa, Yupo pale ilala boma, kituo cha shule msingi kwenye zile kota ndio mitaa yake
Amejikatia tamaa ya maisha.Juzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndani
Picha ya mguu unaotoa usaha wewe ya nini.Picha iko wapi sasa