Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

Tuvumiliane tu kama tunaelewana, japo si vizuri kutumia lugha ambayo huijui vyema wakati kuna ambayo unaijua vizuri. Mfano mimi siwezi kuandika humu kwa kifaransa wakati kuna kiswahili na Kiingeeza japo kifaransa nakijua kwa mbaliiii
Ni kweli mkuu kikubwa message inakuwa imefika 😅
 
Basi usiwalaumu sana ambao hawajamsaidia mpaka sasa hivi coz hata wewe hukumsaidia kitu,

Kuhusu matatizo ya Chid yanajulikana toka kitambo hata kabla ya huu uzi,

Nilivyoona unavyo waponda na kuwalaumu watu kwa kutomsaidia nikajua labda wewe ulimpa msaada,
kumbe ndio wale wale tu.
Msaada sio matangazo
 
Kipindi nasoma kulikuwa na jamaa naye alifikia hatua kama ya mshkaji, sema alikuwa mbishi kukubali kuwa hayuko sawa, ndugu na wazazi wote walichoka na alikuwa na bahati ya kutokea familia inayojiweza na maarufu, basi akaachwa atangetange maana hasaidiki.
 
Juzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndani
Inasikitisha
 
Basi huyu jamaa ana maskani nyingi sana, me msasani ndo mamuonaga mara kwa mara
Kuna mdau hapo kasema yeye anamkutaga tiptop bar mazense
Ilala boma ndio kwao alipokua na baadhi ya ndugu zake wapo pale
Msiba wa baba yake ulifanyika pale pale ilala boma
 
Omba tu usiwe na mgonjwa aina ya Chid Benz kwenye familia hao watu Huwa ni wasumbufu hatari mm sidhani kama familia imeshindwa kumtibu

Ninachokiona ni kwamba familia imekata tamaa kutokana na tabia alizonazo Chid.
 
Ilala boma ndio kwao alipokua na baadhi ya ndugu zake wapo pale
Msiba wa baba yake ulifanyika pale pale ilala boma
Kumbe Baba ake alishafariki? Mbona juzi kat nliona interview moja Chidibenz alisema mzee wake yupo?
 
Shida chid hayupo tayari kwa hilo yeye anajiona yuko sawa kabisa hana shida kumbe ana tatizo kubwa

Ukijjfanya kumsaidia utaambulia matusi tu
Mbona hayaa maneno kila kukicha. Ulimsaidia akakutukana au ndo story za kusikia kwenye vijiwe.
 
Mbona hayaa maneno kila kukicha. Ulimsaidia akakutukana au ndo story za kusikia kwenye vijiwe.
Wangapi wamejaribu kumsaidia wakaishia kutukanwa? Au wewe mgeni jijini?

Kapelekwa sober house mara ngapi na waliojitolea?

Basi kajaribu na wewe halafu utakuja kutusimulia
 
Usiombee familia yako wawe na mtu kama chid Benz. Kuna familia moja ipo Ilala walikuwa na mtu kama huyo miaka ya tisini. Bahati nzuri enzi hizo Cocaine haikuwa kivile. so jamaa alikuwa anatumia bangi na pombe Kali konyagi na gongo.

Alikuwa kama teja mchafu kachoka akaanza na udokozi. Halafu mjuaji kinoma anatukana watu mbishi

Cha ajabu sasa kwako pa kishua dingi wa kishua maza wa kishua kaka zake dada zake wadogo zake wamesoma wana kazi kubwa nzuri yeye yupo tofauti kabisa nao japo alikacha shule form two.

Can u imagine yani familia ambayo lets say mtoto wa kwanza ni Profesa Mukandala, wa Pili Zitto Kabwe, wa tatu Dokta Tulia, wanne anakuwa mlevi bange kibaka mpiga debe mnywa gongo halafu wadogo zake mmoja Mwigulu mwingine Ally Hapi. Yani hakuna symmetry.

Walicho kifanya ndugu walileta mganga akapewa jini likamlimbiza akapotea akaenda kusiko julikana.

Maana jamaa alikuwa anafanya makusudi kuwachoresha wanafamilia
 
Dah noma sana,
 
Huu ndio Muda akina Steve Nyerere Wachangishe Michango Mwana akatibiwe.
Wamchangishe nani michango? Hawa wasanii wanaokwenda kwenye vyombo vya habari na kusema ananyoa nywele kila siku kwa shilingi milioni moja halafu augue mimi nimchangie pesa ya matibabu? THUBUTU!!
 
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.

Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.

Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.

Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Kwani nyie wasanii wenzake hamjui??? Kama mnajua why msimzingatie mwenzenu? Au hadi afe ndo mjifanye mnatambua uwepo wake??? Shame on you!!! Msaidieni chidi hadi now mshachelewa but it's not too late
 
Kumbe Baba ake alishafariki? Mbona juzi kat nliona interview moja Chidibenz alisema mzee wake yupo?
Kama alisema hvyo basi Unga umempanda hadi kichwani
 
Back
Top Bottom