Mimi naamini ya kuwa kila mtanzania ana haki ya kuamua ni chama kipi ajiunge nacho au chama gani akichangie. Kitu ambacho ningependa kujua kutoka kwa hawa wasanii ni kwa nini wanaichangia CCM? Zaidi, ni kitu haswa kilichowavutia kutoka kwenye utwala wa CCM ?
Sasa hili ni swali murua kabisa Rufiji. Kwa kweli hata mimi sijui, lakini mkuu Mkandara amesema hapo juu kwamba CCM ina sera maridadi kuhusu hakimiliki, kitu ambacho kipo karibu kabisa na mioyo ya wasanii hawa.
Na sijawahi kuisikia sera ya chama kingine chochote kuhusu hakimiliki.
Hii ni theory moja tu, of course kunaweza kuwa na mengine mengi tu.
In that case kila mtu si mtu mwingine kwa sababu kila mtu potentially ana access level tofauti na media. KAma hupendi point of view ya Prof Jay chukua mic uwe msanii na wewe basi, au fanya campaign na wasanii wenye point of view yako.
Lakini usikataze watu kujinafasi kwa mujibu wa maoni yao, tena openly hamna hata scandal ya transparency hapa.
Siyo mnaacha upinzani ukae bila strategy, halafu watu wa CCM wakiwafunga magoli kwa vitu vidogo kama hivi mnalalamika kama nyie hamkuwa na nafasi ya kuleta ushawishi kama huu.
Mimi nawashukuru "wasanii" hawa kwa kuondoa any doubt miongoni mwa watanzania kuhusu wapi wanasimama.
Kiranga ,
Ni kweli kwamba Kikwete aliwaahidi hiyo sheria ya hati miliki , lakini kitu kingine ambacho ningewauliza ni kuwa Kikwete has been in power for almost five years now, kama alishindwa kuipitisha hiyo sheria katika miaka mitano kwa nini wanadhani ataipitisha katika miaka mitano ijayo ?
Wakati hawa wanakuja kihivyo yuko huyu ROMA anakuja kihivi;
https://www.jamiiforums.com/habari-...lava-wanajitahidi-hebu-check-hizi-lyrics.html
Na hapa Kiranga anataka kuji-hang kabisa!
Wanaweza kukwambia administration ilikuwa na priorities nyingine. Si kila kitu kinatekelezeka katika miaka mitano. Wanaweza kukwambia muswada umepelekwa katika gazeti la serikali lakini unahitaji mabadiliko or some bs like that.
Inawezekana wao kuwa karibu tu na wakubwa (kujikomba) ni deal tosha kufanikisha mambo yao, regardless ya hili la hakimiliki.
Hii ni biashara ya matapeli wawili kupatana, anayeuza dhahabu feki anapewa noti feki, kama alivyosema J. Wasanii wanakuwa promised hakimiliki feki, na CCM wanakuwa promised an empty victory.
At least CCM wanapalilia ushindi, upinzani sijui hata wanafanya nini.
Hatuzungumzii potentila celebrities or artists,tunazungumzia waliopo,huwezi kwenda pale maelezo ukaitisha mkutano na waandishi wa habari,hauna status ya ucelebrity,you can say whatever you want,lakini watu walio na access na media ambao ni macelebrities,wao wako accountable to watever they say on the public arena....Kama ingekuwa mimi na wewe tayari in that position of being famous,then it wouldve matter coz wananchi watajadili na tofauti zitatokea,kwa upnade wangu mimi na wewe,bado si macelebriies and so nobody is going to listen to us and we dont have followers,hope yu c da diff.
Status yao ya easier access to media itapotea kama wakienda against satatus quo,ambayo,ili render inability to convey any message to the society(rmrmber wat happnd to Mr 2?) hence worthless,then watakuwa kama mimi na wewe tu,yu understand?They're made,and whoever made them can "Dissasemble" them
Its two different isue to be made by yur hardworking and talent,and its another to be made by media,certainly yu can't go after the interests of yur owners,hence luck of free mind and self expression....Kama tutaendelea kukumbatia dhana ya ccm ya kwamba ili ufanikiwe lazima uwe ccm,unategemea nini kwa watu ambao ni just wasanii?Ni wasanii wachache sana ambao wako independent......Mfano halisi ni alosema member mmoja hapo nyuma kwamba miziki yao mingi inapingana na uendeshaji mbovu wa ccm,wanaelewa consequences,na wewe pia uelewe kuwa mtandao bado upo na wanascrutinezi nanai anasema nini na anamback nani.
Nakaaa Sumari is bold,she a true artist,kama ni kweli hao wasanii waliimba kuwa ccm ni mafisadi na hapo hapo wanaifagilia,then go het me a definition of cowrdness.
Status yao ya easier access to media itapotea kama wakienda against satatus quo,ambayo,in abilit to convey any message hence worthless,then watakuwa kama mimi na wewe tu,yu understand?They're made,and whoever made them can "Dissasemble" them
Its two different isue to be made by yur hardworking and talent,and its another to be made by media,certainly yu can't go after the interests of yur owners,hence luck of free mind and self expression....Kama tutaendelea kukumbatia dhana ya ccm ya kwamba ili ufanikiwe lazima uwe ccm,unategemea nini kwa watu ambao ni just wasanii?Ni wasanii wachache sana ambao wako independent......Mfano halisi ni alosema member mmoja hapo nyuma kwamba miziki yao mingi inapingana na uendeshaji mbovu wa ccm,wanaelewa consequences,na wewe pia uelewe kuwa mtandao bado upo na wanascrutinezi nanai anasema nini na anamback nani.
Nakaaa Sumari is bold,she a true artist,kama ni kweli hao wasanii waliimba kuwa ccm ni mafisadi na hapo hapo wanaifagilia,then go het me a definition of cowrdness.
Babu,
Pengine ni ma coward na si mashujaa kama wewe.
But that is my entire point. Si lazima kila mtu awe shujaa kama wewe, ukifikiri hivyo utakuwa umekosea sana.
No mkuu,sijasema huo ni ushujaa ku criticise ma pro fisadi,Ila kwao kina Prof Jay itakuwa ushujaa kwasababu they got something to loose,nashangaa kwanini hatuelewani hapa,kuweza kureason na kuwa independent minded hakuhitaji ushujaa,na mimi si shujaa kwasababu si superstar,kama ningesema haya ninayosema sasa kwenye position waliyoko,yani on say Prof Jay's shoes, then ungenibrand shujaa,kwa maana ya kwamba maslahi binafsi pembeni na what i think matters for the nation comes first,tuna mifano ya miziki kama reggae na hi hop zilivyoshiriki kwenye mapinduzi ya mabadiliko kwenye societies zao.....Shabba Ranks alipoteza mauzo nchi za magharibi simply kwa kutoa kauli mbaya kuhusu gays,sasa ina maana ni yeye tu amewahi kuwakandia gays?answer is no,but why him?hilo nshakujibu karibia kila post yangu....They're different,they're celebrities,ppl might linsten and be influnced by them more than just Jmushi and Kiranga.
Pia nakubali kuwa si lazima kila mtu awe shujaa,lakini wao si "Kila mtu"
Totally did not get my point, totally incoherent, I begin to doubt your capacity to correlate issues now.
Unajiumauma sasa.
Ume associate kutoweza kwao kusema ufisadi na cowardice acts.
Mi nakwambia kama unawaona cowards, ina maana either wewe ni hypocryte kama wao, ambaye unajificha under the fact kwamba hujapata nafasi, au ni shujaa ambaye ushafanya kitu.
In either case, tunatofautiana katika level zetu za ushujaa, Tsvangirai alitaka kuleta ushujaa akaona Mugabe atamuua yeye na watu wake, akaona isiwe tabu, akaweka ushujaa pembeni akawa practical.
Leo asubuhi tumesikia kina RedShirts huko Bangkok wame surrender kwa sababu hawataki any more bloodshed.
Sasa wewe unaweza kusema kina Tsvangirai Zimbabwe na viongozi wa Red Shirts huko Thailand ni cowards kwa sababu wame give up the fight? Wakati wewe mwenyewe ni Internet MC kushabikia kwenye keyboard tu? Unasema watu cowards wakati wewe hutuonyeshi umefanya nini zaidi yao?
Kama mna details za kuwachamba hawa mabwege tunazialika zileteni hapa, lakini msitake kuwadhulumu haki yao ya kukampainia chama cha siasa wanachotaka.
Jmushi1 said:No mkuu,sijasema huo ni ushujaa ku criticise ma pro fisadi,Ila kwao kina Prof Jay itakuwa ushujaa kwasababu they got something to loose
Mkuu nilisema hivi....
Wapenzi wa muziki wa Bongo flavor wana haki ya ku criticise maamuzi yao ama vitendo vyao wasanii,coward ni mtu ambaye ulifikiri mko pamoja,kwa mfano based on their previous productions baadhi walionekana wakitunga mashairi yenye kuonyesha kutoridhishwa ie ndiyo mzee song!
Kusema kuhusu ufisadi na kuwa na msimamo dhidi ya ufisadi ni two different issues.....Uki imply kuwa viongozi mafisadi wako ccm halafu ukawachangia hiyo unaita nini?
Hayo mambo ya ushujaa once again are irrelevant.....Nshakwambia mimi na wewe si kama wao,mbona huelewi mkuu?Sina access ya media kama wao.....Na comparison yao na Tsivangirai ni totally out of point.
Maoni ya watu humu wanaowaunga mkono hawa waganga njaa plus kitendo cha hao 'wasanii' kukipigia chapuo upenuni kabisa chama kinachoididimiza nchi ktk lindi la umaskini kinadhihirisha mizizi ya tatizo. Na kama kweli tunahitaji mabadiliko inabidi kwanza tujiangalie sisi wenyewe. Sisi wenyewe ndio tunaoweka misingi ya umaskini. Umaskini wa fikra, ubinafsi, hila na ghilba hadi umaskini wa mali.