Wakati hawa wanakuja kihivyo yuko huyu ROMA anakuja kihivi;
https://www.jamiiforums.com/habari-...lava-wanajitahidi-hebu-check-hizi-lyrics.html
Na hapa Kiranga anataka kuji-hang kabisa!
Kiranga ana speak from the grave, sasa sijui ata ji hang vipi.
Hizi infatuations na watu kama Roma ndizo zinakuja kutupa disappointment kesho na keshokutwa.Hawa watu wanatafuta jinsi ya "kutoka" kama alivyosema Mr Misosi.
Kwa hiyo kesho keshokutwa wakishatoka, jina kubwa, CCM ikiwaita na kuwaimbisha hawana hiyana, it is the natural next step, it is the next rung on the ladder.
Bila Jay kuwa critical kuhusu uongozi, kwa nyimbo kama "Ndiyo Mzee" asingekuwa maarufu, kama asingekuwa maarufu CCM isingemtaka katika kampeni zake.
Kwa hiyo formula ya Bongofleva ni hii.
Ukiwa unatoka, hamna mtu anayekujua, kuwa anti-establishment, kandya CCM na siasa za bongo.Utapata mashabiki kibao na kujenga jina.
Ukishapata mashabiki kibao na kujenga jina, utapata dealz kibao, concerts kibao, na influence kibao.Ukishakuwa na influence mpaka watu wa CCM watakufuata.Wakikufuata unawatajia kidau chako kizuri, unacheka.
It is all business.
Sasa kuna watu wanawachukulia hawa watu very seriously, kama vile wana moooyo na hayo wanayoyasema.
Watu tumewafuatilia kina Buju Banton, ma Rastafarians walioprofess Jah Rastafari, na kukandya coke left right and center, lakini leo Buju ana kesi ya coke, they got him on tape Miami huko ana-taste coke kuona kama inafaa akaiuze Jamaica.
There is a reason hawa watu wanaitwa "wasanii".