Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Mtoa mada wewe ni ndo mbaguzi tena biased.

Wakati hapa Dar East Coast kutokea pande za Upanga wanabaguana na Wanaume kutoka Temeke nao walikua watu wa Arusha sio? We ni Kijana wa hovyo hovyo sana
East Coast na TMK walikuwa kibishara zaidi. Ukiangalia East Coast ilikuwa na members ambao walikuja Dar ukubwani kwa mfano AY, FA na O Ten... ila ukienda kwa members wa makundi ya Arusha ni kwamba wote wamezaliwa na kukulia Arusha. Kibaya zaidi hawataki kabisa kuingiza members wa mkoa tofauti na wao. Hiyo hali imefanya muziki wa Arusha kuwa duni sana usiovuka mipaka. Nenda tu hapo Malawi huwezi sikia nyimbo za Weusi na makundi mengine ya Arusha... nje ya mipaka yetu utasikia tu WCB, na wasanii wengine chipukizi wanaofanya vizuri kama Ali Kiba, Nandy na Aslay.
 
Washamba sana hawa mapopoma. Kuna sehemu wana ukanda na ukabila zaidi ya kanda ya ziwa? Stress zao za kufeli kwao maisha wazipeleke Chato wakaona namna kiongozi mkuu wa nchi alisema nyumba za watu wa mwanza hazibomolewi wakati huo huo dar watu vilio.
Wanajisahaulisha mapema sana Hawa watu
 
Acha ujinga wewe. Kwaio akina weusi hawapo kibiashara? We jamaa umekula maharagwe ya wapi.

Kwa taarifa yako mambo ya ukanda yapo kuanzia marekani mpaka ulaya. Na hautakaa uishe.
Weusi muziki wao sio wa kuvuka mipaka ya Tanganyika.
 
Huo ubaguzi aliuleta John aliyedai ilikuwa zamu ya kanda nyingine kuendelea. Akaanza kuijenga Kanda ya Ziwa kana kwanda kaskazini ndiyo ilidumaza kanda nyingine wakati hata Rais haijawahi toa.
Na haitowahi kutoa Rais! Na tuseme amen!
 
Mleta mada anataka hao majaa wakiamka wawe wanampa shikamoo.

Kiufupi ana inferiority complex.
 
Hakuna mbwa yyte atakayekuja kuwaweza watu wa kaskazini kwa kila kona ni vile tu sina.muda ningewanyoosha kwa facts..waru wa kaskazini hatuwawez yaan wao.wamejipachika kila kada ata hapo ulipo wapo na tena wanakunyanyasa sana Ata yupo ambaye anasumbua vichwa vya hii nchi wameamua hadi kumpiga ndani We tulia tu naja now
 
Kunywa maji ukalale mkuu achana na maisha yetu.
 
Sikieni nyie matakataka wa mikoani huko ..kama mumeshindwa kupaendeleza kwenu huko tandaimba au nalinjilinji halafu unakuja leta chuki za kiboya Kwa watu wa Kaskazini aise utakufa mapema sana maana huwezi shindana na sisi. Sisi ni sisi na wala hatujambagua kuzi yeyote yule ..in kwamba hatutaki shobo ..huku ni kusaka hela tu hatuna muda na mararu kila mtu ana ishi life ake asee.
Ukitaka uishi vizuri na watu wa Arusha ..wewe usilete mbambamba na ujuaji mwingi asee chali yangu utaachwa kwenye mataa areef.
 
Hahaha dah asee...

Maisha ni hatua... Mungu ni mwema.

Kila kitu kina maana yake..

CODE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa maji ukalale mkuu achana na maisha yetu.
Kwani nani anayekufuatilia pambana na hali zenu lina tunawakilishwa na diamond na kiba kigoma boys pamoja na konde boy

Nyie vuteni bangi tu
 
Sasa ndo uandike kwa hicho kiswahili cha kipumbavu ili tujue kwamba na wewe umetoka huko Arusha? Ukiandika kawaida utakufa? Watu wa Arusha acheni usela mavi.
 
Wewe kweli pimbi hao wote ni wa dsm, mikoa mingine haina wasanii!? Kama wanao, hebu taja wanaojulikana huko kwenu malawi. Arusha achana nao hiyo ndiyo identity yao. Au unataka waimbe amapiano ya Sauzi!? Au wawakopi wanaija kama hao uliowataja!?
 
Utapaliwa na chuki we mbululsion

Utapaliwa na chuki we mbulula.
Tambua hakuna msanii wa chuga ninaye mkubali hata mmoja uncivilized wala moshi

Huyo dogo janja kapokelewa na kina madee akafundishwa ustaarabu achane na manguo ya mitumba ona anavyopendeza na yale meno na alianza kusugua 😂😂mnakunywa maji yana mikojo ya vyura
 
Wewe kweli pimbi hao wote ni wa dsm, mikoa mingine haina wasanii!? Kama wanao, hebu taja wanaojulikana huko kwenu malawi. Arusha achana nao hiyo ndiyo identity yao. Au unataka waimbe amapiano ya Sauzi!? Au wawakopi wanaija kama hao uliowataja!?
Wajinga huo mziki wenu unajulikana wapi kwanza mnabaguana wenyewe kaeni mtulie bado mkoa wenu hauna potential ya kuhost wasanii wakubwa dar mtakuja tunamitambua kwa meno na kugombania mitumba pale karume
 
Wewe kweli pimbi hao wote ni wa dsm, mikoa mingine haina wasanii!? Kama wanao, hebu taja wanaojulikana huko kwenu malawi. Arusha achana nao hiyo ndiyo identity yao. Au unataka waimbe amapiano ya Sauzi!? Au wawakopi wanaija kama hao uliowataja!?
FA, AY na O Ten ni wa Dar? Wewe ni mpumbavu sana aisee. Pia inaonekana labda umri wako mdogo au umechelewa kujua haya mambo ya sanaa na wasanii. Halafu sijazungumzia music genre nimeongelea tabia za wasanii. Kuwa mwelewa.
 
FA, AY na O Ten ni wa Dar? Wewe ni mpumbavu sana aisee. Pia inaonekana labda umri wako mdogo au umechelewa kujua haya mambo ya sanaa na wasanii. Halafu sijazungumzia music genre nimeongelea tabia za wasanii. Kuwa mwelewa.
Wewe ndio mpumbavu. Huo ulazima wa wasanii wa Chuga kujumuisha wasanii wa mikoa mingine unatokea wapi!? Ushirika unalazimishwa!? Kwani interest ziko sawa!? Halafu ulivyokuwa punguani umedai "muziki wa Arusha umekuwa duni usiovuka mipaka". Nimekuuliza wasanii gani wa mikoa mingine waliovuka mipaka , hebu wataje!? Unarukaruka. Kabla ya O_ten, Fa na AY kuja Dar unaweza kutaja ngoma zao? Kama hawakutoka wakiwa mikoani kwao, unalazimisha vipi kuwanasibisha na mikoa yao ya asili!? Hii game naifatilia tangu Saleh Jabiri anafanya remix ngoma za mbele kwa Kiswahili 1990. Kenge wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…