Wasanii wa Bongo Fleva heshimuni dini za watu

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.

Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?

Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.

Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??

Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?

Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.

Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
 
Waislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la kila muisilamu kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.

Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga humu ndani, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
 
Kosa lipo kwa viongozi wa dini wakristo

Wanatanguliza pesa mbele kuliko maadili ya dini

Hatujiheshimu! dini nyingine wataanza vipi kutupa heshima?

Mfano mzuri ni video ya Zuchu ft. Diamond Mtasubiri kanisa la Pugu wamepewa hela wakawapa kibali cha kuigiza bongo fleva kanisani.
 
Una ushahidi katika hilo we dogo? Kama ni kweli inasikitisha sana.
 
Kosa lipo kwa viongozi wa dini wakristo
Wanatanguliza pesa mbele kuliko maadili ya dini
Hatujiheshimu! dini nyingine wataanza vipi kutupa heshima?

Mfano mzuri ni video ya Zuchu ft. Diamond Mtasubiri kanisa la Pugu wamepewa hela wakawapa kibali cha kuigiza bongo fleva kanisani.
kibonge unajua nini wewe kama kimya 🤣
 
Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.

Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?

Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.

Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??

Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?

Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.

Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
Hamtaki kuilingania dini yenu wafanyeje zaidi ya kuifanyia mizaha? Amkeni; muwe na wivu mkubwa na dini yenu!
 
Ukristo ni upendo na amani. Tunaamini ukimkejeli Mungu wetu utadili naye mwenyewe, hatujapewa mamlaka ya kumpigania, atajipigania mwenyewe kwa kuwa yeye ni mwenye nguvu.

Mtu anakua comfortable zaidi kumtukana au kumkejeli Yesu Kristo akiwa kasimama katikati ya soko kwa sababu uhakika wa kutoka eneo hilo akiwa mzima wa afya ni kama asilimia mia.
 
Ukristo umeshaharibiwa na wakristo wenyewe , Qaswida haikubaliki katika uislam ni mambo ya haram kama zilivyo nyimbo zingine, kuhusiana na kujaribu kuutest uislam na kuufanyia dhihaka kwenye nyimbo zao nafikiri hata kuwaza hawajawahi kuwaza kufanya hivyo ukitaka kujua ni kwanini hawajawaza jaribu wewe uone outcomes
 
Mungu si yupo? Atawaadhibu.

Au hayupo?

Au hajamind nyie ndo mnajifanya wasemaji wake mnamshobokea. Mmemuuliza?
 
Waislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la mwisilamu yeyote kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.

Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
Kutukana dini siyo utapigwa tu na waislam hata gerezani unaenda ni kosa lililo bayana kwenye penal code kwahiyo usijaribu kwenda msikitini ukajaribu kuwatukana kichapo utakacho chezea ukirudi nyumbani kwenu wazazi wako wenyewe watakusahau watakuuliza we ni nani
 
Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.

Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?

Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.

Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??

Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?

Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.

Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
Hili halijakaa sawa kwa hao wanamuziki.... nafikiri wanajua kuhusu nyimbo za dini na hizo za dunia
 
Kosa lipo kwa viongozi wa dini wakristo
Wanatanguliza pesa mbele kuliko maadili ya dini
Hatujiheshimu! dini nyingine wataanza vipi kutupa heshima?

Mfano mzuri ni video ya Zuchu ft. Diamond Mtasubiri kanisa la Pugu wamepewa hela wakawapa kibali cha kuigiza bongo fleva kanisani.
Pesa ni swala mtambuka sana. Kuna eneo nimekuta Kuna malumbano Kati ya mchungaji wa KKKT na waumini wa eneo flan kwamba Kuna watu hawawatambui(recognize) kwa ngazi ya Jumuiya na ni waumini kanisani ukiulozauliza hao watu ni watu flan hivi wenye kibunda
 
Ukristo umeshaharibiwa na wakristo wenyewe , Qaswida haikubaliki katika uislam ni mambo ya haram kama zilivyo nyimbo zingine, kuhusiana na kujaribu kuutest uislam na kuufanyia dhihaka kwenye nyimbo zao nafikiri hata kuwaza hawajawahi kuwaza kufanya hivyo ukitaka kujua ni kwanini hawajawaza jaribu wewe uone outcomes
mbona harmonize alimtukana allah,

alisema kitu flani kuhusu allah kuwa mwanamke

mbona hamjamchinja

Nyie ni wachumba tu.

Kina alshabab ni extremists, hakuna extremists bongo mnajazwa vichwa na nyie mnajazika!

Kuna nchi kama Lebanon wewe....

Yule raia wao Mia Khalifa alivyoigiza porn na hijab aliambiwa akirudi anauawa. Hajakanyaga tena.

Narudia tena, nyie ni wachumba.
 
Back
Top Bottom