Wasanii wa Bongo Fleva heshimuni dini za watu

Wasanii wa Bongo Fleva heshimuni dini za watu

Kaangalie hiyo video, na behind the scene walisema ni kanisa la pugu katoriki na lazima walitoa hela sio bure
Una uhakika na hili?kwani hawawezi kuomba kuingia kufanya video kama inahusu jambo bora la kimaisha?

Ningetaka kufahamu huo wimbo unazungumzia nini,unaweza kupandisha link hapa naomba if possible.
 
Kutukana dini siyo utapigwa tu na waislam hata gerezani unaenda ni kosa lililo bayana kwenye penal code kwahiyo usijaribu kwenda msikitini ukajaribu kuwatukana kichapo utakacho chezea ukirudi nyumbani kwenu wazazi wako wenyewe watakusahau watakuuliza we ni nani
Unajua Yesu alisema mtaitambua dini ya kweli kwa matunda yao. Matunda ya dini za uongo ni kutembeza kejeli, na matusi, na vichapo na mapanga na risasi na majambia sijui.

Dini ya kweli wanajua ukichapwa kofi upande mmoja geuza upande wa pili ili usizidi kuumia upande uliochapwa tayari. Hukumu ni za Mungu. Anaejua yeye hafanyi dhambi ndio ana haki ya kuhukumu.
 
mbona harmonize alimtukana allah,

alisema kitu flani kuhusu allah kuwa mwanamke

mbona hamjamchinja

Nyie ni wachumba tu.

Kina alshabab ni extremists, hakuna extremists bongo mnajazwa vichwa na nyie mnajazika!

Kuna nchi kama Lebanon wewe....

Yule raia wao Mia Khalifa alivyoigiza porn na hijab aliambiwa akirudi anauawa. Hajakanyaga tena.

Narudia tena, nyie ni wachumba.
Hajamtukana Allah kamtukana mungu wake anaemuabudu sasa maana katika anayo yafanya tayari alishajitoa kwenye uislam
 
Unajua Yesu alisema mtaitambua dini ya kweli kwa matunda yao. Matunda ya dini za uongo ni kutembeza kejeli, na matusi, na vichapo na mapanga na risasi na majambia sijui.

Dini ya kweli wanajua ukichapwa kofi upande mmoja geuza upande wa pili ili usizidi kuumia upande ulichapwa tayari. Hukumu ni za Mungu. Anaejua yeye hafanyi dhambi ndio ana haki ya kuhukumu.
Kati yako na Pope Francis aliesema mashoga wabarikiwe ni nani anaujua ukristo?
 
mbona harmonize alimtukana allah,

alisema kitu flani kuhusu allah kuwa mwanamke

mbona hamjamchinja

Nyie ni wachumba tu.

Kina alshabab ni extremists, hakuna extremists bongo mnajazwa vichwa na nyie mnajazika!

Kuna nchi kama Lebanon wewe....

Yule raia wao Mia Khalifa alivyoigiza porn na hijab aliambiwa akirudi anauawa. Hajakanyaga tena.

Narudia tena, nyie ni wachumba.
Mkuu...kichwa hicho!!!

Usije kusema hukuambiwa,hao jamaa kuondoka na kichwa cha mtu anayetaka kuhama au kukejeli dini ni kugusa tu.
 
Kati yako na Pope Francis aliesema mashoga wabarikiwe ni nani anaujua ukristo?
Mie sio mfuasi wa Pope Francis, lakini nakumbuka context ya baraka aliyosema sio ile unayofikiri wewe kwamba wanabarikiwa kwamba hawana dhambi, bali waonwe kama kondoo wapotevu ambao wanaweza kurudishwa zizini. Yaani wahurumiwe na kuelekezwa kwa upole. Kwani mtu akisema ubarikiwe maana yake anakuambia huna dhambi? Baraka za Yesu kwa makahaba, watoza ushuru nk, zilisababisha wabadilike, hakuamuru wakatwe vichwa.

Kama nilikuwa popo bawa nikabarikiwa maana yake nimewezeshwa kuacha upopo bawa!

Sasa leo, kuna dini ambazo ukimtamkia mtu kwamba Yesu ni jina pekee kwa ajili ya wokovu inaamriwa ukatwe kichwa, hakuna mjadala! Sasa ni dini hiyo au Satan's merchants of evil tu hao.
 
Mie sio mfuasi wa Pope Francis, lakini nakumbuka context ya baraka aliyosema sio ile unayofikiri wewe kwamba wanabarikiwa kwamba hawana dhambi, mbali waonwe kama kondoo wapotevu ambao wanaweza kurudishwa zizini. Yaani wahurumiwe na kuelekezwa kwa upole. Kwani mtu akisema ubarikiwe maana yake anakuambia huna dhambi?

Kama nilikuwa popo bawa nikabarikiwa maana yake nimewezeshwa kuacha upopo bawa!
Kwa aliyo yasema pope francis ambae anaujua ukristo kuliko wewe ni dhahiri kuna tatizo sehemu huwezi kutuambia ni sehemu sahihi
 
Waislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la mwisilamu yeyote kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.

Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
Hapana nakupinga. Yesu angekuwepo enzi hizi angelaumiwa mno na sisi tunaojiita wakristo kwasababu hata yeye alikuwa hataki ujinga kabisa kwenye nyumba ya ibada. Enzi zake alishawahi kuingia hekaluni na kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo kibabe bila kujali chochote. Na wala hakuwa na cheo chochote. Ingekuwa miaka hii wakristo wangemshushia kipigo kama walivyofanya kwa MSANII MANDOJO na Yesu angefia General Hospital, Dodoma kwa majeraha. Waislamu wako sahihi 100% kwa kutoka upumbavu kwenye imani yao.
 
Waislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la mwisilamu yeyote kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.

Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
Muziki ni Haram Kwa maneno yeyote yatakayotumika. Kama mwandishi huyu anakubali muziki basi na hayo mengine ndani yake ayasikilize tu. Solution ni acha kusikiliza nyimbo zao na achana na video zao. Achana na matamasha yao, kiufupi achana nao,. Hapo wataacha muziki
 
Nimeiangalia video mpaka 1:43 min,nadhani kosa lipo hapo mwanzo kucheza cheza kama wendawazimu wakisema ”Mungu ni mwema Mungu ni mwema wakiwa ndani ya Kanisa”,vibaya zaidi wangekuwa wamevaa nguo za hovyo na kuzungusha viuno.

Nadhani maudhui hayo wasingeweza kuyafanya wakiwa msikitini ukichukulia hiyo dini kila utakachosema ndani ya msikiti inabidi kutumia kiarabu ikizingatiwa siyo wasikilizaji wote wanaojua kiarabu,though kuna umuhimu wa Kanisa kuzuia huu ujinga wa wasiojua maana ya Imani yao kutumia nyumba zao za ibada.
 
Siku zote mti wenye....ndio upigwao...
Nalifikiri labda wenye Imani ya wahusika ndio wangelipinga wafuasi wao kushabikia na kutangaza Imani nyingine...
 
Waislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la mwisilamu yeyote kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.

Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
Nice observation brother
 
Kosa lipo kwa viongozi wa dini wakristo

Wanatanguliza pesa mbele kuliko maadili ya dini

Hatujiheshimu! dini nyingine wataanza vipi kutupa heshima?

Mfano mzuri ni video ya Zuchu ft. Diamond Mtasubiri kanisa la Pugu wamepewa hela wakawapa kibali cha kuigiza bongo fleva kanisani.
Inasikitisha sana
 
Ukristo ni upendo na amani. Tunaamini ukimkejeli Mungu wetu utadili naye mwenyewe hatujapewa mamlaka ya kumpigania, atajipigania mwenyewe kwa kuwa yeye ni mwenye nguvu.

Mtu anakua comfortable zaidi kumtukana au kumkejeli Yesu Kristo akiwa kasimama katikati ya soko kwa usababu uhakika wa kutoka eneo hilo akiwa mzima wa afya ni kama asilimia mia.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom