Wasanii wa Bongo Fleva heshimuni dini za watu

It does not matter, hao ni watu wa dini wanaotembeza kipigo cha mbwa koko, whether kosa ni kula wakati wa Ramadhani au kusema hamjui mnachoabudu, nk. Hizo trivials ziko nje ya mada. Suala hapa ni kwamba waumini wa dini ya kweli ni watu wa amani wasiohukumu kwa kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wale waliokosea, na hao pichani, ambao unakiri ni watu wa dini yako, hawana justification au license kutoka kwa Mungu kuhukumu kwa kutoa kipigo kama hicho. Hiyo haiwezi kuwa dini ya wacha Mungu wa amani asiyetaka visasi. Kanuni ni kwamba asie na dhambi ampige huyu mtu.

So why mlikuwa mkichomana moto kwa blasphemy na mmeanza kuwa wa "amani" hivi karibuni? Hivi vyooote ulìvyoniandikia walikuwa hawavijui mpaka miaka ya karibuni?

Yale makali yenu karne hizo yalitokana na nini?

Siwezi ku comment chochote kuhusu hiyo video mpaka nipate stori halisi kuhusu hiyo video. Ila mpaka sasa nilichokigundua ukweli ni kuwa ulichokiandika mwanzo kuhusu hiyo video sio sahihi.

Halafu katika Uislam kuchukua sheria mkononi haifai. Uislam una taratibu zake. Waislam wanaochukua sheria mkononi mara nyingi huwa ni ujinga na jazba inayotokana na kuwa na wivu na Dini yao lakini kwa sababu ya ujinga wanakosea wanakuwa hawafuati taratibu.
 
Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.

Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?

Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.

Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??

Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?

Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.

Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
Hata marek an hawaruhusu kuchezea ukristo sema hujafatilia wewe,lakini kingine hao uliowataja mfano rayvan na babalevo ni wakristo wenzetu sema hao wengine labda
 
mkuu hili neno "mtambuka" maana yake ni nini? au naomba neno lake la kiingereza
Tunapozungumzia neno (mtambuka) maana yake ni masuala yanayogusia nyanja tofautitofauti Kamavile kijamii,kisiasa, na kiuchumi

Kutoka google
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hamtaki kuilingania dini yenu wafanyeje zaidi ya kuifanyia mizaha? Amkeni; muwe na wivu mkubwa na dini yenu!
Upiganie kitu kilichoanzishwa na binadamu? Dini ni mapokeo ya kibinadamu tu, Mungu hajawahi kuwa na dini
 
Waislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la kila muisilamu kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.

Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga humu ndani, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
Una leso iliyopakwa mafuta ya upako toka kwa Nabii Kiboko ya Wachawi au Mwamposya Mtume/Nabii sio kwa huo ujinga ulomalizia comment yako🐷
 
A man in denial! Kwa nini usijaribu nilichosema
So why mlikuwa mkichomana moto kwa blasphemy na mmeanza kuwa wa "amani" hivi karibuni? Hivi vyooote ulìvyoniandikia walikuwa hawavijui mpaka miaka ya karibuni?

Yale makali yenu karne hizo yalitokana na nini?

Siwezi ku comment chochote kuhusu hiyo video mpaka nipate stori halisi kuhusu hiyo video. Ila mpaka sasa nilichokigundua ukweli ni kuwa ulichokiandika mwanzo kuhusu hiyo video sio sahihi.

Halafu katika Uislam kuchukua sheria mkononi haifai. Uislam una taratibu zake. Waislam wanaochukua sheria mkononi mara nyingi huwa ni ujinga na jazba inayotokana na kuwa na wivu na Dini yao lakini kwa sababu ya ujinga wanakosea wanakuwa hawafuati taraibu.
Swali zuri, kwa nini watu walichomwa moto. Nataka ujue kwamba, kwa kiwango kikubwa kuchoma moto lilikuwa ni jambo lililofanywa na Wakatoliki, wakati ambapo Roma ikiwa world power na siasa iliingia sana katika dini kiasi kwamba kuwa na maoni tofauti juu ya ukristo ilionekana kama ni uhaini kwa serikali. Kwa hiyo katika ku-suppress ufahamu na maoni tofauti ya kidini toka kwa waumini wa kawaida, adhabu ilikuwa kuchomwa moto, katika zile pindi za inquisition. Hiyo ilikuwa ni dhambi kubwa kufanywa na Kanisa la Katoliki, na hata leo kanisa linapaswa kuomba msamaha kwa unyama waliowafanyia watu. Watu kama kina Galileo walihukumiwa kwa kusema tu dunia ni duara na sio centre of the universe. Aliambiwa amekufuru.

Kuchoma moto sio jambo la karibuni, ni mambo ya zamani sana tuseme karne ya nne hadi ya kumi labda, na leo tuko karne ya ishirini na tano.

Kwa hiyo waliofanya hivyo, kuchoma moto, walikuwa wakristo fake, na walifanya hivyo for selfish reasons. Ndio maana hilo halipo tena. Na ni kutokana na matendo haya ya dini ya Ukatoliki ndio watu walianza kujitoa kwenye kanisa la Katoliki; ku-protest, na yakazaliwa makanisa ya Waprotestant. Waprotestants kimsingi walikuwa wanapinga mambo ya kisiasa na kiserkali yaliyoingizwa katika ukristo na utawala wa Roma ulipoamua kuunganisha ukristo na siasa. Huwezi kumwambia m-protestant, Msabato, M-Lutheren nk kwamba mlichoma waumini moto.

Lakini hapa tunaongelea mambo yanayofanyika leo, katika ufahamu tulio nao, na matunda ya dini tulizo nazo. Ndio maana nikasema jaribu kufanya hili jaribio leo. Ni wazi enzi za zamani za kuchoma moto waumini, ungefanya jaribio ninalosema ungechomwa moto na wakristo pia - Wakatoliki.
 
Baljurashi sema tuu hukuniuliza mm lakini nilitaka kukujibu hili swali, first of all Lazima ujue kutofautisha kati ya Pagan Rome and Christian Rome.

Pagan rome walikuwa na hio desturi ya uchomaji wa watu, either wahalifu au wanaoipinga serikali, baada ya ku-adapt ukristo(Christian rome) sasa hizo desturi zikaendelea, kweny Christian rome ulikuwa huwez kutenganisha kati ya dini na siasa, kanisa lilikuwa lina nguvu kuliko institutions zote, ukihukumiwa kanisani ni kama umehukumiwa mahakamani, sasa issue ni kwamba kuchanganya siasa na dini sio sahihi, so watu waliokuwa wanafanya makosa walikuwa wakihukumiwa kuchomwa moto na kanisa kimakosa, ingekuwa ni sahihi wanavyofanya kusingekuwa na reformation zilizokuwa zikifanywa na wakina John Huss na Martin Luther.

Nadhani umepata mwanga kidogo.
 
Kuchoma moto sio jambo la karibuni, ni mambo ya zamani sana tuseme karne ya nne hadi ya kumi labda, na leo tuko karne ya ishirini na tano.
Nadhani hapo nilipobold umeteleza kidogo, nadhani unajua tuko karne ya 21 kwa calendar ya miladia/gregorian calendar. Halafu kuchomwa moto kwa blasphemy sio jambo la zamani sana. Mpaka karne za juzi tu bado lilikuwa likifanyika, mpaka karne ya 17 na 18 hapo likifanyika, na baada ya hapo bado watu waliendelea kuhukumiwa na kufungwa kwa blasphemy kwenye baadhi ya nchi za kikristo mpaka karne ya 20 yaani karne iliyopita. Kwa mfano Wa orthodox walikuwa wakihukumu watu kwa blasphemy mpaka mwaka 1917.

Ndio maana hilo halipo tena. Na ni kutokana na matendo haya ya dini ya Ukatoliki ndio watu walianza kujitoa kwenye kanisa la Katoliki; ku-protest, na yakazaliwa makanisa ya Waprotestant. Waprotestants kimsingi walikuwa wanapinga mambo ya kisiasa na kiserkali yaliyoingizwa katika ukristo na utawala wa Roma ulipoamua kuunganisha ukristo na siasa. Huwezi kumwambia m-protestant, Msabato, M-Lutheren nk kwamba mlichoma waumini moto.

Hata makanisa mengine baada ya kujitenga yaliyendelea kuhukumu watu kwa blasphemy na heresy. Kasome yaliyowakuta akina Michael Servetus. Kasome kwa mfano Arjeplog blasphemy trial of 1687. Puritans walichokuwa wakiwafanyia watu huko Mashachussets. Bado violence iliyokuwa ikifanyika dhidi ya natives kulazimishwa na Europeans kuwa wakristo.
Lakini hapa tunaongelea mambo yanayofanyika leo
Yanayofanyika leo kwa kuwa Ukristo wa sasa ndio ukristo halisi na sio ule wa mwanzo wakati ukiwa na nguvu?
Ndio maana nikasema jaribu kufanya hili jaribio leo
Sio kwa sababu nyinyi ni watu wa amani bali kwa sababu huo ukristo wenyewe mmeuacha baada ya kuwa conquered na secularism
Ni wazi enzi za zamani za kuchoma moto waumini, ungefanya jaribio ninalosema ungechomwa moto na wakristo pia - Wakatoliki.
Sio wakatoliki tu, hata wakristo wa makanisa mengine wakihukumiana kwa heresy na blasphemy.
 
Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.

Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?

Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.

Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??

Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?

Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.

Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
Duniani kuna dini zaidi hata ya 200k lakini almost wasanii wengi sio wa marekani tuu wasanii wengi wengi huwa wanaikimbilia dini ya kikristo
But all in all MUNGU PEKEE NDIYE ATOAE HUKUMU
 
Nadhani hapo nilipobold umeteleza kidogo, nadhani unajua tuko karne ya 21 kwa calendar ya miladia/gregorian calendar. Halafu kuchomwa moto kwa blasphemy sio jambo la zamani sana. Mpaka karne za juzi tu bado lilikuwa likifanyika, mpaka karne ya 17 na 18 hapo likifanyika, na baada ya hapo bado watu waliendelea kuhukumiwa na kufungwa kwa blasphemy kwenye baadhi ya nchi za kikristo mpaka karne ya 20 yaani karne iliyopita. Kwa mfano Wa orthodox walikuwa wakihukumu watu kwa blasphemy mpaka mwaka 1917.

Hata makanisa mengine baada ya kujitenga yaliyendelea kuhukumu watu kwa blasphemy na heresy. Kasome yaliyowakuta akina Michael Servetus. Kasome kwa mfano Arjeplog blasphemy trial of 1687. Puritans walichokuwa wakiwafanyia watu huko Mashachussets. Bado violence iliyokuwa ikifanyika dhidi ya natives kulazimishwa na Europeans kuwa wakristo.

Yanayofanyika leo kwa kuwa Ukristo wa sasa ndio ukristo halisi na sio ule wa mwanzo wakati ukiwa na nguvu?

Sio kwa sababu nyinyi ni watu wa amani bali kwa sababu huo ukristo wenyewe mmeuacha baada ya kuwa conquered na secularism

Sio wakatoliki tu, hata wakristo wa makanisa mengine wakihukumiana kwa heresy na blasphemy.
Noted na thanks for pointing out the error.

Sijasema ukristo wa sasa uko perfect. Nimesema kwamba hapa tuna test dini katika level ya vigor test, extreme level. Dini zote zina matatizo mengi tu, lakini zinazidiana katika kuvuka mipaka na kuwa mbali na Mwenyezi Mungu. Sasa test yangu ni kuangalia ni dini ipi angalau iko karibu na kuwa dini ya kweli, kuwa watu wa amani kwa mfano wa Mwenyezi Mungu. Ndio nikasema nenda katikati ya ibada ya dini yeyote, iwe Wakatoliki, Wasababto, Waislamu Suni, Wasilamu Shia, Mabudha, Ma Singh nk, waambie nyie wajinga humu ndani hamjui mnachoabudu.

Sasa hapa utapata level mbili extreme za reactions; upande mmoja utakusihi uwaache na kukusindikiza nje waendelee na ibada yao. Upande wa pili watakuua. Sasa ndio nimesema, katika hizi extreme mbili utajua dini ya kweli yenye kuwa watu wa mfano wa Mungu ni ipi.
  • wapo watakao kusihi uondoke kwa amani
  • wapo watakaokusukuma sukuma utoke
  • wapo watakaokuchapa makofi na kukubeba na kukutupa nje
  • wapo watakaokutukana na kukuzomea
  • wapo watakaokuitia polisi
  • wapo watakaokukata mapanga na visu na kukutoa viungo vya mwili
  • wapo watakaokuua
  • nk
Sasa katika hizo reaction, utajua dini ya kweli ni ipi

Niambie, wewe unafikiri mtu akija katikati ya wewe unapofanyia ibada na kuwaambia wajinga nyie, hamjui mnachoabudu. Sema kweli, unafikiri waumini wenzako (labda bila wewe) watamfanya nini huyu mtu?
 
Usije siku ukasema "asalamu alekum" ,"Bismilahi" ,"ALahamdulilai" ."Inshallah" ni uislamu.
 
Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.

Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?

Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.

Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??

Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?

Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.

Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
Susha sukari Chini kwanza usicomplicate maisha hata waliokuletea dini wanabadili makanisa kuwa kumbi za starehe
 
Sasa katika hizo reaction, utajua dini ya kweli ni ipi
Hiki kipimo ulichojitengenezea mwenyewe ni kama unataka kujidanganya mwenyewe. Maana utaletewa mifano mingi kutoka sehemu tofauti kukidisprove. Zamani na sasa
Niambie, wewe unafikiri mtu akija katikati ya wewe unapofanyia ibada na kuwaambia wajinga nyie, hamjui mnachoabudu. Sema kweli, unafikiri waumini wenzako (labda bila wewe) watamfanya nini huyu mtu?
Katika misikiti ya watu waliolelewa katika Qur-an na Sunnah juu ya ufahamu wa wema waliotangulia (wale wa vizazi vitatu vya kwanza katika Uislam) ambao ndio Uislam wenyewe hawatojichukulia Sheria mkononi. Ila atabainishiwa ukweli. Kwa sababu katika Uislam hakuna kunyamazia maovu na tumeamrishwa kuamrisha mema na kukataza maovu na Shariah ikaweka taratibu za kufuata katika hilo. Na Shariah ina taratibu zake. Na Uislam ni Dini ya Hikma (hikma ni kukiweka kila kitu mahala pake). Kuna pa upole na kuna pa ukali. Watu wana hali tofauti na wanashughulikiwa mambo yao kulingana na hali zao. Na kuna taratibu katika Dini yetu katika kila kitu. Mambo hayafanyiki hovyo hovyo.

Kuna bedui wakati wa Mtume alikojoa msikitini na hakuuawa.

Soma hapo chini;

Hebu wacha tuchume mafunzo katika kisa hiki.

1- Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) walipanda juu na wakamfokea mbedui huyu. Hapo tunapata funzo ya kwamba haijuzu kukinyamazia kitendo kiovu. Bali ni wajibu kukimbilia kumkataza yule mtenda maovu. Lakini ikiwa kule kukimbilia kukataza uovu huo kunapelekea katika jambo kubwa zaidi, basi inatakiwa kuwa na hekima mpaka yaondoke kwanza madhara haya makubwa. Kwa ajili hii ndio maana Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwakataza. Sivyo tu bali kumkemea na kumfokea mbedui huyu.

2- Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliamrisha kumwaga ndoo ya maji juu ya ule mkojo. Hapa kuna mafunzo ambayo lililo bora ni kukimbilia kuondosha madhara. Kuchelewa kuyaondosha kuna madhara pia. Ilikuwa ni jambo linalowezekana kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuchelewesha kusafisha sehemu hii ya msikiti mpaka pale watu watapohitajia kupaswalia ndipo akapasafisha kwa ajili hiyo. Lakini lililo bora ni mtu akimbilie kuondosha madhara ili baadaye asije kushindwa au akasahau. Hii ni nukta muhimu sana. Mtu anatakiwa kukimbilia kuondosha madhara kwa kuchelea asije kushindwa kuyaondosha huko mbele.

Kwa mfano lau nguo ya mtu – sawa iwe nguo hiyo anaswali nayo au haswali nayo – itaingiwa na najisi. Lililo bora ni yeye kuharakisha kuiosha najisi hii na asicheleweshe. Anaweza kusahau huko mbeleni au akashindwa kuiondosha ima kwa kukosa maji au kwa sababu nyingine isiyokuwa hiyo.

Kwa ajili hii pindi alipokuja mvulana kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambapo akampakata na tahamaki mtoto yule akamkojolea. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akaamrisha kuletwe maji na akayamwaga juu ya ule mkojo papo hapo. Hakuchelewesha kuosha nguo yake mpaka wakati wa swalah kutokana na yale tuloyasema hivi karibuni.

4- Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimweleza mbedui huyu shani ya msikiti huu na kwamba umejngwa kwa ajili ya swalah, kusoma Qur-aan na kumdhukuru Allaah. Au alisema maneno kama hayo (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kwamba haisihili ndani yake kitu katika dhara na taka. Kwa hiyo shani ya msikiti ni kuutukuza, kuusafisha, kuutwahirisha na yasifanywe ndani yake isipokuwa swalah, kusoma Qur-aan, kumdhukuru Allaah na mfano wa hayo ambayo yanamridhisha Allaah (Ta´ala).

5- Mtu atapowalingania wengine kwa hekima, upole na ulaini basi yanafikiwa malengo makubwa kuliko atapotaka kukiondosha kitu kwa ukali. Mbedui huyu alikinaika kikamilifu kwa yale aliyomfunza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) mpaka akasema maneno haya yanayojulikana:

“Ee Allaah! Nihurumie mimi na Muhammad na usimuhurumie kati yetu mwengine yeyote.”

Utaona kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitangamana na mtu huyu kwa ulaini na upole. Ni jambo lisilokuwa shaka ya kwamba alikuwa ni mjinga. Haiwezekani kwa ambaye anajua utukufu wa misikiti na uwajibu wa kuiheshimisha akasimama mbele za watu na kukojoa pembezoni mwake.

Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Dawr-ul-Mar´ah fiy Iswlaah-il-Mujtama´ https://www.sahab.net/home/?p=806
Imechapishwa: 02/02/2017
 
Na hii ndio Dini ya kweli.

Imeweka utaratibu wa kila kitu katika maisha ya mwanadamu. Dini ambayo ina taratibu katika kila nyanja ya maisha ya mwanadamu. Huwezi kukuta katika Dini hiyo kuna jambo lolote linalomhusu mwanadamu kisha usikute hakuna muongozo wa kuliendea jambo hilo kutoka katika Dini hiyo.

24/7 (saa 24 siku zote saba za wiki) katika harakati zote za maisha ya mwanadamu kuanzia kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake kuna muongozo wa cha kufanya na kutofanya.

Ni watu tu ndio wawe wajinga wasijue. Lakini muongozo upo.

Na Dini hiyo inajitosheleza.

Dini ya kuamrisha mema na kukataza maovu na yenye utaratibu uliowekwa katika hilo.

UISLAM
 
Kati yako na Pope Francis aliesema mashoga wabarikiwe ni nani anaujua ukristo?
Kuna swali niliwahi kuuliza sikupata jibu.

Mtu akiwa shoga na anatambilika kama ni muislamu akifa waislamu watamzika ama hawatamzika!?

Halafu mabasha waislamu wapo ama hawapo?
 
Na hii ndio Dini ya kweli.

Imeweka utaratibu wa kila kitu katika maisha ya mwanadamu. Dini ambayo ina taratibu katika kila nyanja ya maisha ya mwanadamu. Huwezi kukuta katika Dini hiyo kuna jambo lolote linalomhusu mwanadamu kisha usikute hakuna muongozo wa kuliendea jambo hilo kutoka katika Dini hiyo.

24/7 (saa 24 siku zote saba za wiki) katika harakati zote za maisha ya mwanadamu kuanzia kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake kuna muongozo wa cha kufanya na kutofanya.

Ni watu tu ndio wawe wajinga wasijue. Lakini muongozo upo.

Na Dini hiyo inajitosheleza.

Dini ya kuamrisha mema na kukataza maovu na yenye utaratibu uliowekwa katika hilo.

UISLAM
Sipendi kubishana mambo ya dini. Lakini hii nadharia ya kuwa uislamu ni muongozo wa maisha ya kila siku ya binadamu, inakuzwa Sana.
 
Back
Top Bottom