Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Mkuu, huwa kuna kitu kinaitwa vigor test. Utakuta gari inaendeshwa kwenye makorongo na matope ya ajabu ili kuona kama ni 4 x 4 imara. Sasa hapo nimekupa vigor test ya dini ya kweli. Iwe ni test ya gari au dini, sio wendawazimu, ni extreme measures katika kupata ukweli wa jambo. Amani ndio kiini cha dini ya kweli. Kama una dini itakayotembeza kipigo, ondoka huko, ni dini ya uongo.Hapana, huwezi kupima ukweli wa dini kwa kuingia ibadani na kukashifu waumini Kisha uone kama utapigwa au la?....huo ni ugonjwa wa akili