Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't be stupid brother.Mungu si yupo? Atawaadhibu.
Au hayupo?
Au hajamind nyie ndo mnajifanya wasemaji wake mnamshobokea. Mmemuuliza?
Ule mziki unaoimbaMuziki ni ushetani mtupu. Uwekezaji uliofanywa na shetani kwenye muziki ni mkubwa mno na unamlipa. Sasa hivi hadi kwenye injili nako kuna uchafu wa kutosha.
Muziki utakuwaje haramu wakati kina Musa na Daudi na Solomon wote walimwimbia Mwenyezi Mungu na wakatunga mashairi ya kumsifia? Muziki unapaswa kuwa sehemu ya ibada ya dini yeyote ya kweli. Kama dini haina muziki au mashairi ya kumsifu Mwenyezi Mungu, basi inatia shaka sanaMuziki ni Haram Kwa maneno yeyote yatakayotumika. Kama mwandishi huyu anakubali muziki basi na hayo mengine ndani yake ayasikilize tu. Solution ni acha kusikiliza nyimbo zao na achana na video zao. Achana na matamasha yao, kiufupi achana nao,. Hapo wataacha muziki
Mzee ukristo hauendi hivyo hata kidogo, kujua ukristo na kutojua ukristo hatuangalii nafasi yako kanisani au umesoma biblia nzima mara ngapi, tunaangalia unachosema na unachokifanya, kama pope Francis kafanya/katenda yasiyoendana na ukristo bac tunamhesabia hajui ukristo kabisa.Kati yako na Pope Francis aliesema mashoga wabarikiwe ni nani anaujua ukristo?
Uislamu sio dini ya mzaha Wala kukurupuka ina misingi yake katika hukumu na sio kama unavyosema ambazo ni stori za kuokoteza.Waislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la mwisilamu yeyote kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.
Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
Wewe ndo haujui ukristo yani umezaliwa kuzuramimba kigoma alafu uujue ukristo kuliko pope francis?Mzee ukristo hauendi hivyo hata kidogo, kujua ukristo na kutojua ukristo hatuangalii nafasi yako kanisani au umesoma biblia nzima mara ngapi, tunaangalia unachosema na unachokifanya, kama pope Francis kafanya/katenda yasiyoendana na ukristo bac tunamhesabia hajui ukristo kabisa.
Dini ya kweli haiwezi kupimwa kama ulivyoandika...Waislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la mwisilamu yeyote kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.
Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
Una jaribu kujustify uovu wa dini unayoitakaDini ya kweli haiwezi kupimwa kama ulivyoandika...
Hapana, huwezi kupima ukweli wa dini kwa kuingia ibadani na kukashifu waumini Kisha uone kama utapigwa au la?....huo ni ugonjwa wa akiliUna jaribu kujustify uovu wa dini unayoitaka
Wewe unaoujua niambie?Wewe ndo haujui ukristo yani umezaliwa kuzuramimba kigoma alafu uujue ukristo kuliko pope francis?
Hata wasanii wa kikiristo bongo wengi wanaongoza kufanyia mzaha ukiristo ni wengi tu Baddest ,Rosalee nk.Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.
Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?
Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.
Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??
Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?
Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.
Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
Heshima haitupeleki mbinguni, tuishike imani kwa imani, hizo kejeli watahukumiwa waoHatujiheshimu! dini nyingine wataanza vipi kutupa heshima?
Mfano mzuri ni video ya Zuchu ft. Diamond Mtasubiri kanisa la Pugu wamepewa hela wakawapa kibali cha kuigiza bongo fleva kanisani.
Yes, ndo maana nimesema wasanii, sija-generalize.Hata wasanii wa kikiristo bongo wengi wanaongoza kufanyia mzaha ukiristo ni wengi tu Baddest ,Rosalee nk.
Huko Ulaya ndio usipime kanisani linageuka disco watu na vichupi, mabangi pombe wanacheza kifuska Kanisani mfano nyimbo Moja ya Shaggy na nyinginezo.
Reflection ya ukristo tunaipata kwa pope francisWewe unaoujua niambie?
alijaribu salman rushdie kwenye kazi yake inayoitwa satanic verse. Upo dunia gani?Ukristo umeshaharibiwa na wakristo wenyewe , Qaswida haikubaliki katika uislam ni mambo ya haram kama zilivyo nyimbo zingine, kuhusiana na kujaribu kuutest uislam na kuufanyia dhihaka kwenye nyimbo zao nafikiri hata kuwaza hawajawahi kuwaza kufanya hivyo ukitaka kujua ni kwanini hawajawaza jaribu wewe uone outcomes
Jaribu na wewealijaribu salman rushdie kwenye kazi yake inayoitwa satanic verse. Upo dunia gani?