roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Sijawahi kusikiiza wimbo wowote wa bongo fleva Kwa zaidi ya dk 3!!!Huwa naona ni upuuzi mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwimba singeli mmoja kasema "kidemu chake cha kilokole..."tena ni muislam wakristo jina wanaupenda kweli huo wimbo.Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.
Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?
Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.
Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??
Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?
Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.
Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.