Wasanii wa Bongo Fleva heshimuni dini za watu

Sijawahi kusikiiza wimbo wowote wa bongo fleva Kwa zaidi ya dk 3!!!Huwa naona ni upuuzi mtupu
 
Kuna mwimba singeli mmoja kasema "kidemu chake cha kilokole..."tena ni muislam wakristo jina wanaupenda kweli huo wimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…