Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa kuhakikisha anakamatwa walifanya waao wakishirikiana na RC ili tu kumkomoa
Pia wanatumia staili hiyo ili kumlegeza apunguze msimamo wa kupingana nao na iwapo atakubali kulamba miguu kama Wema basi wataanza kumshirikisha kwenye mipango yao ya kupiga pesa kwa kigezo cha kumfanyia kiongozi kampeni
Itakumbukwa kuwa mwaka 2015 wasanii hawa hawa walitumia pesa na vitisho ikiwemo kuwabambikia kesi wasanii wote ambao hawakua upande wao
Kutumika kwa wasanii hawa kisiasa kumeuwa vipaji kabisa na wengi wa wasanii wana zaidi ya miaka mitano hawajatoa movie na wanategemea kuishi maisha ya upambe , na hata wachache wanaojitahidi kutoa movie hazipati mapokezi mazuri kwakua wananchi wameshawachoka