Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Tufanyaje sasaWapuuzi wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanyaje sasaWapuuzi wote
Pw lakini msalimie babuuu lowasaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapuuzi wote
Alichezaaa redee kituo Cha polisi 😳😳😳😳😳😔😔Kwani Huyu Idirisa amefanya nini?
Jeee, ingekuwa hapa Tanzania kwa picha ya aina hii, adhabu yake si ni kunyongwa kabisa!!kamdharau rais kwa kuweka picha ya rais magufili kwenye mitandao kisha akaidhihaki na kuikejeli.
Uyu ndo Aliyeiuzaaaa galilayaa kwa kiasi Cha maandazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha...kweli CCM ni ya kupigiwa kampeni na huyo kiazi? you can't be serious aisee, JPM hata asipopiga kampeni atashinda kwa zaidi ya 95% ya kura zote, endeleeni kuota mchana mkijiliwaza na mutusi ya multiple accounts za akina Chahali na kile kikahaba wakati hata kura hawapigi.
Tanzania ni tofauti kimaadili na haojamaa zako.Jeee, ingekuwa hapa Tanzania kwa picha ya aina hii, adhabu yake si ni kunyongwa kabisa!! View attachment 1462261
Itakumbukwa kuwa mwaka 2015 wasanii hawa hawa walitumia pesa na vitisho ikiwemo kuwabambikia kesi wasanii wote ambao hawakua upande waoRais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa kuhakikisha anakamatwa walifanya waao wakishirikiana na RC ili tu kumkomoa
Pia wanatumia staili hiyo ili kumlegeza apunguze msimamo wa kupingana nao na iwapo atakubali kulamba miguu kama Wema basi wataanza kumshirikisha kwenye mipango yao ya kupiga pesa kwa kigezo cha kumfanyia kiongozi kampeni
Itakumbukwa kuwa mwaka 2015 wasanii hawa hawa walitumia pesa na vitisho ikiwemo kuwabambikia kesi wasanii wote ambao hawakua upande wao
Kutumika kwa wasanii hawa kisiasa kumeuwa vipaji kabisa na wengi wa wasanii wana zaidi ya miaka mitano hawajatoa movie na wanategemea kuishi maisha ya upambe , na hata wachache wanaojitahidi kutoa movie hazipati mapokezi mazuri kwakua wananchi wameshawachoka
Kama msanii akiwa ni CCM anapotea kisanaa Kama alivyosema mtoa mada mbona Diamond na Alikiba ndio top artist na Ni wapenzi wa CCM na pia walipiga kampeni mwaka 2015 ili CCM ishinde.Tukija kwa bongo movie mtoa mada anapotosha mambo sababu kuu iliyofanya bongomovie ife Ni kutokana na Kazi zao kuwa mbovu + kufa kwa Marehemu Kanumba na si kwa sababu waliingia kwenye siasa.Tukija kwa Idris,Jamaa nia yake ya kupost ile picha lilikuwa Ni kuchekesha watu na hakuwa na lengo mbaya Kama watu walivyotafsiri bahati mbaya akujua kufanya vile Ni kosa la kisheria.Idris inajulikana wazi hata yeye amewahi kusema Ni mpenzi wa CCM na hata mwaka 2015 na yeye pia alimpigia kampeni Magufuli kwenye insta yake.Nakumbuka vizuri na huyo steve nyerere sanaa imemshinda kahamia kwenye siasa. Bongo movie ilishakufa siku nyingi saiv wanahemea mipira. Na ubaya ukishajulikana wewe ni wa chama tofauti na ccm au una mitazamo tofauti kama idris lazima uandamwe.
Idris namfuatiliaga post zake anajaribu kuongea vitu vyenye uhalisia though anajitahid asiwe straight sana lakini mtu unaelewa kua Idris anajitambua.
Mzee Idris Ni mpenzi wa CCM hata mwaka 2015 alimpigia kampeni Magufuli ila hapo kilichotokea Ni kwamba Idris Nia yake ilikuwa nzuri ya kupost ile picha ili ichekeshe Ila hakujua kufanya vile unatenda kosa la kisheria.Idris inatakiwa aplay smart,jiwe ni mtu wa sifa kwahiyo akitokea mtu wa kumbeza huwa anakasirika sana na ni mtu wa kupitia mitandao sana!!
Ila chanzo ni hicho, hayo mengine huwa wanajiongeza kwa kuwashirikisha Wasomi/Wataalamu wa kutafuta mashitaka.Sasa mbona kosa la kumcheka Mfalme wa mataga ajapewa hilo kosa.