Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Kuwadi anauzia Toto’s wapuuzi wa mboga za kijaniSijakuelewa bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwadi anauzia Toto’s wapuuzi wa mboga za kijaniSijakuelewa bwashee!
Mzee Baba ndio alikuwa anaingia mjini , mimi nafikiri kama fundi aliyemchonea yupo anatakiwa kufungwa kabisa ....kwa miaka ile 2000 kulikuwa na suit kali tu mjini ....zinazokaaa vizurikamdharau rais kwa kuweka picha ya rais magufili kwenye mitandao kisha akaidhihaki na kuikejeli.
Wanataka kumfanyia kama wema wakati ule , ambapo walimtia ndani , wakampa kesi ya bangi ..na kupeleka notice ya kuvunja nyumba yao ya sinza ,,,,,ahaaaa yeye mwenyewe aliomba Pooooo na unakumbuka wakati ule ili leak audio ya steve na mama yake wema akimshawishi amuambie wema arudi kwenye line ili wamsaidie mambo yaishe ...Idris akaze na misimamo yake
bwashee ile suti ni kalisana kwa miaka ile.na mzee baba katokelezea poa tu.sema vijana wa sasa mikato yenu ni ya kuvaa nguo za kike ndosababu mnaoana chuma akijapendezaMzee Baba ndio alikuwa anaingia mjini , mimi nafikiri kama fundi aliyemchonea yupo anatakiwa kufungwa kabisa ....kwa miaka ile 2000 kulikuwa na suit kali tu mjini ....zinazokaaa vizuri
Nakumbuka vizuri na huyo steve nyerere sanaa imemshinda kahamia kwenye siasa. Bongo movie ilishakufa siku nyingi saiv wanahemea mipira. Na ubaya ukishajulikana wewe ni wa chama tofauti na ccm au una mitazamo tofauti kama idris lazima uandamwe.Wanataka kumfanyia kama wema wakati ule , ambapo walimtia ndani , wakampa kesi ya bangi ..na kupeleka notice ya kuvunja nyumba yao ya sinza ,,,,,ahaaaa yeye mwenyewe aliomba Pooooo na unakumbuka wakati ule ili leak audio ya steve na mama yake wema akimshawishi amuambie wema arudi kwenye line ili wamsaidie mambo yaishe ...
Viongozi wa Bongo movie badala ya kusaidia sanaa wamejeuka watu wa kuuza wenzao kama hivi , ukuwadi , etc na anayekataa wanamuandama ...hii inafanya watu wawe na maumivu moyoni ..
Nakumbuka wakati ule baada ya kumteka Roma walikuwa walikuwa wana m parade wanaenda kuimba na lile kundi la Tanzania All Stars lakini wazi ulikuwa ukimuangalia Roma unaona kabisa ana jambo moyoni bado .....
Wasanii wanaumizana wao kwa wao kwa vipande vya pesa ....wanatajirika kwa kuumiza wenzao ...ndio maana hawana muda wa kutoa sinema mpya au kufanya shoo bali ni ujanja ujanja tu au kula pesa za misiba
bwashee ile suti ni kalisana kwa miaka ile.na mzee baba katokelezea poa tu.sema vijana wa sasa mikato yenu ni ya kuvaa nguo za kike ndosababu mnaoana chuma akijapendeza
Mbona mahakama hayajauona uo ujingaDogo alifanya ujinga wa Hali ya juu hata hivyo
Hiyo sifa uliompa sio kabisa. Chuma gani kinalainishwa kwa kicheko cha mtu laini kama Idris?. Vyuma ni wazungu na baadhi kwenye vitabu vitakatifu kama akina Daudi ambao walizuia upanga uliokuwa uwale adui zake na akaamua kumwachia kisasi Mungu juu ya watesi wake. Acha kufananisha vitu vya thamani na ujinga ujinga.Wamwachie tu ila kweli utundu mbaya . magu sio trump. Magu chuma cha pua hana masihara
Ulishangaa nini mkuu...?Kuna siku niliskia Stive ametoka dar anaenda dodoma kwenda kuonana na Pm na Makamu wa rais nilishangaa sana..
kamdharau rais kwa kuweka picha ya rais magufili kwenye mitandao kisha akaidhihaki na kuikejeli.
fatauhalisia wa mambo yalivyo.usizubae changamka.Mbona kwenye hati ya mashtaka hakuna hiki ulichoandika wewe? Hii kitu umeitoa wapi? Idriss anashtakiwa kwa kosa la kutumia line ambayo haijasajiliwa kwa jina lake
Lazima watu kama yeye wawepo Wana umuhimu sana
Ila kwa kitendo kile wewe Huoni kama ni dhihakaNakumbuka vizuri na huyo steve nyerere sanaa imemshinda kahamia kwenye siasa. Bongo movie ilishakufa siku nyingi saiv wanahemea mipira. Na ubaya ukishajulikana wewe ni wa chama tofauti na ccm au una mitazamo tofauti kama idris lazima uandamwe.
Idris namfuatiliaga post zake anajaribu kuongea vitu vyenye uhalisia though anajitahid asiwe straight sana lakini mtu unaelewa kua Idris anajitambua.
Ulishangaa Nini sasa?,Steve Ni mtu mkubwa Sana,usimuone hivyo amekaa kihasara hasara,,Ni mtu muhimu sanaKuna siku niliskia Stive ametoka dar anaenda dodoma kwenda kuonana na Pm na Makamu wa rais nilishangaa sana..