Wasanii Wa Bongo Movie Wakiongozwa na Steve "rais wao" Walimchongea Idris

Uyu ndo Aliyeiuzaaaa galilayaa kwa kiasi Cha maandazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Idris inatakiwa aplay smart,jiwe ni mtu wa sifa kwahiyo akitokea mtu wa kumbeza huwa anakasirika sana na ni mtu wa kupitia mitandao sana!!
 
Itakumbukwa kuwa mwaka 2015 wasanii hawa hawa walitumia pesa na vitisho ikiwemo kuwabambikia kesi wasanii wote ambao hawakua upande wao


Jr[emoji769]
 
Kama msanii akiwa ni CCM anapotea kisanaa Kama alivyosema mtoa mada mbona Diamond na Alikiba ndio top artist na Ni wapenzi wa CCM na pia walipiga kampeni mwaka 2015 ili CCM ishinde.Tukija kwa bongo movie mtoa mada anapotosha mambo sababu kuu iliyofanya bongomovie ife Ni kutokana na Kazi zao kuwa mbovu + kufa kwa Marehemu Kanumba na si kwa sababu waliingia kwenye siasa.Tukija kwa Idris,Jamaa nia yake ya kupost ile picha lilikuwa Ni kuchekesha watu na hakuwa na lengo mbaya Kama watu walivyotafsiri bahati mbaya akujua kufanya vile Ni kosa la kisheria.Idris inajulikana wazi hata yeye amewahi kusema Ni mpenzi wa CCM na hata mwaka 2015 na yeye pia alimpigia kampeni Magufuli kwenye insta yake.
 
Idris inatakiwa aplay smart,jiwe ni mtu wa sifa kwahiyo akitokea mtu wa kumbeza huwa anakasirika sana na ni mtu wa kupitia mitandao sana!!
Mzee Idris Ni mpenzi wa CCM hata mwaka 2015 alimpigia kampeni Magufuli ila hapo kilichotokea Ni kwamba Idris Nia yake ilikuwa nzuri ya kupost ile picha ili ichekeshe Ila hakujua kufanya vile unatenda kosa la kisheria.
 
Sasa mbona kosa la kumcheka Mfalme wa mataga ajapewa hilo kosa.
Ila chanzo ni hicho, hayo mengine huwa wanajiongeza kwa kuwashirikisha Wasomi/Wataalamu wa kutafuta mashitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…