Pre GE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli mazuri,
 

Attachments

  • 1edaac7a3e34dc7dbc36bb899a6e6430_1738702701936.mp4
    5.4 MB
Wasanii wote nchi hii wako CCM hakuna msanii ambaye alikuwa Chadema hapo wanatafuta kiki tu kuitumia Chadema
 
Sijawahi hata kuwasikia....tuache kujipa umuhimu usio wa LAZIMA
 
Waongo kabisa hao wapuuzi wako CCM siku zote na kwenye shughuli za CCM hawakosekani, waweke ushahidi kuwa kama walikuwa Chadema. CCM mbona wanapenda siasa za hadaa namna hii hadi aibu.
 
Kumbe stamina ni mwigizaji mzuri tu
 
Maigizo hayo Ili kuwaaminisha raia na sisi watanzania akili zetu za kuambiwa tutaamin
 
So bure, Mama Samia ana uvuvio kutoka mbinguni, kila mtu anamkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…