Pre GE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wameandikiwa hio
Wala uhitaji kuwa na elimu kubwa ung'amue hilo kwaki liko wazi. Wamekabidhiwa bahasha, risala kisha kuletewa Waandishi wahabari.

Ni wazi hawa wagawa rushwa wamechanganyikiwa. Wamekuwa wakifanya mambo ya aibu kwa wale wachache wenyekujitambua nadani ya CCM. Wameachana na Wajenga hoja wameamua kuwakusanya Wasanii.

Hebu fikiria zile shughuli za UVCCM waeamua kumkabidhi Makamu M/K Mzee Wasira. Kama siyo kuchanganyikiwa ni nn???
 
Hapo CCM wenyewe inawashangaa wanahamia CCM mara ngapi
 
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.

Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?

====

Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.

Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Sama: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe JB alikuwa Chadema? Stamina sawa. ila dah hivi inakuwaje unaamua kuwa Chadema? Kwa kijana anayejielewa na anataka kukua sidhani kama atakuwa Chadema chama cha wahuni wanywa Faru John 😂 😂 😂 😂 afu unajifungia fursa zote za maisha.
 
Wewe una fursa zipi za maisha, kutokana na kutokuwepo kwako Chadema?
 
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.

Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?

====

Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.

Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Sama: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna impact yoyote kamwe , mpaka wamekua Bungeni ,ilikua kwa baraka za maccm sasa hoja yao ni ipi? Hawa aalishakua walanguzi wa chama
 
Wamegundua wenzao wanaogelea hela za bure za walipa kodi, mafiesta Dodoma kila uchwao.

Walikwenda CDM kufuata hela ya EL, uchaguzi unakaribia hakuna tena hela ya EL, mbona hatukuwaona pamoja na Lissu 2025.

Trend hii ni mbaya tuendako, siasa zikifanywa vioja na sio Jambo serious la kulinda na kusimamia maslahi ya Taifa hupelekea Taifa kuwa na watu wajingawajinga wanaowaza matumbo na starehe.

Ukombozi utaletwa na watu serious sio hawa watafuata fursa, ni vizuri mkajichuja labda sasa werevu na watu serious watabaki upinzani na kuleta ukombozi.
 
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.

Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?

====

Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.

Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Sama: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Njaa nani anawajali wasanii waende Dodoma
 
Zingatia "bongo movie"😂😂😁😂
 
Back
Top Bottom