Wasanii wa hip-hop wa bongo, wamejipoteza kwenye game wenyewe

Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kuwa msafi, presentable, kufanya biashara, kuwa mstaarabu sio ushoga. Hii mentality ndio inafanya wanauza muziki kwa WhatsApp.
Nilishangaa sikua naangaalia clouds kuna msanii wa hip hop alikua anatambulisha album yake. Na njia za kuipata akasema eti unamcheki whatsapp unatuma ela anakutumia album.

Nilishangaa mno aisee kwa utandawazi huu kweli unauza album kwa whatsapp.!!?
Wakati hata dancers, wasanii chipukizi hawafanyi hixo mishe bali wanauzia kwenye platforms mbalimbali na mkwanja unaingia mwingi tu.
 
Wewe msanii unaemkubalinakisema anakuuzia nyimbo zake kwenye whatspaa utakubali au utakataa? Jambo moja usilolijua ni kwamba kila msanii ana funbase yake, na hata hizo platform unazozifahamu kama sijui boomplay, deezer apple music nk. haziwapi faida kubwa wasanii kama unavyodhani. Na kwa taarifa yako hata nchi zilizoendelea kuna independent artist wengi tu wanauza kazi zao wenyewe kwa whatsapp, kutembeza na kusambaza CDs ma Flash zao wenyewe nk. na wanapiga hela ndefu tu, huwezi wafahamu sababu wanakuwa ni independent na mambo yao huyasikii kwenye main stream media. Mtafute mtu anaitwa "Zuby" au "Immortal Technique" hawa ni mfano wa independent musiciqns ambao kazi zao wanauza wenyewe na wana pesa ndefu tu. Tatizo kubwa la vijana wengi wa Kitanzania mna ushabiki wa juu juu sana kuhusu muziki na jinsi biashara ya music ilivyo hamuijui.
 
Ni uboya kuweka picha ya mwanaume mwenzako bila ridhaa na picha hukumuomba kupiga

Sent from my T4 using JamiiForums mobile app
Twende mbele turudi nyuma, huyo jamaa anayekula kachori daaah mbona najikuta siamini kama ni mwana hip hop [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Ngoja niende mjini Yutyubu nikaone kazi zake
 
Screenshot_2022-11-07-17-19-32-692_com.google.android.youtube.jpg
 
Wewe msanii unaemkubalinakisema anakuuzia nyimbo zake kwenye whatspaa utakubali au utakataa? Jambo moja usilolijua ni kwamba kila msanii ana funbase yake, na hata hizo platform unazozifahamu kama sijui boomplay, deezer apple music nk. haziwapi faida kubwa wasanii kama unavyodhani. Na kwa taarifa yako hata nchi zilizoendelea kuna independent artist wengi tu wanauza kazi zao wenyewe kwa whatsapp, kutembeza na kusambaza CDs ma Flash zao wenyewe nk. na wanapiga hela ndefu tu, huwezi wafahamu sababu wanakuwa ni independent na mambo yao huyasikii kwenye main stream media. Mtafute mtu anaitwa "Zuby" au "Immortal Technique" hawa ni mfano wa independent musiciqns ambao kazi zao wanauza wenyewe na wana pesa ndefu tu. Tatizo kubwa la vijana wengi wa Kitanzania mna ushabiki wa juu juu sana kuhusu muziki na jinsi biashara ya music ilivyo hamuijui.
Jana huko Twitter, Songa alikuwa anatangaza Album yake, akasema anauza buku kumi tu unapata Album yake!
View attachment 2409408
 
Wewe msanii unaemkubalinakisema anakuuzia nyimbo zake kwenye whatspaa utakubali au utakataa? Jambo moja usilolijua ni kwamba kila msanii ana funbase yake, na hata hizo platform unazozifahamu kama sijui boomplay, deezer apple music nk. haziwapi faida kubwa wasanii kama unavyodhani. Na kwa taarifa yako hata nchi zilizoendelea kuna independent artist wengi tu wanauza kazi zao wenyewe kwa whatsapp, kutembeza na kusambaza CDs ma Flash zao wenyewe nk. na wanapiga hela ndefu tu, huwezi wafahamu sababu wanakuwa ni independent na mambo yao huyasikii kwenye main stream media. Mtafute mtu anaitwa "Zuby" au "Immortal Technique" hawa ni mfano wa independent musiciqns ambao kazi zao wanauza wenyewe na wana pesa ndefu tu. Tatizo kubwa la vijana wengi wa Kitanzania mna ushabiki wa juu juu sana kuhusu muziki na jinsi biashara ya music ilivyo hamuijui.
Ndgu yangu ndgu yangu kwani hali za wasaanii wetu wa hip hop hatujui ama??

Acha porojo basi man, huko ni kujifariji tu mzeee.

Unataka kunambia hawa wabana pua wakiuza kazi zao kwa njia ya hand to hand itawalipa zaidi ya hii wafaanyayo sasa?? Huko ni kudanganyana waziwazi.

Hao wanafanya ivo kwakua na wana mashabiki wachache. Huwezi kua msanii mkubwa halafu kazi zako ukauza localy namna hiyo mkuu.

Mfano tu, una mashabiki zaidi 10,000 na wote wanaitaka album kwa muda huo na kwa njia tofauti tofauti, mtawamudu vipi. Mbona utatoboka sana kuajiri watu wakusambazie kwa njia ambazo wewe huzifikii kirahisi.

Usalama wa kazi zako ni mdogo, mtu unamtumia nae anaweza kuiuza coz usimamizi ni mdogo mno. Wewe ndo mkuu, wewe ndo msanii, msambazaji, media tour ww hizo kazi utamudu vipi??
 
Siwezi kubishana na wewe sababu hakuna unachokijua. Endelea kuelewa unavyoelewa na mimi nitaendelea kuelewa ninavyoelewa. Thanks
 
Siwezi kubishana na wewe sababu hakuna unachokijua. Endelea kuelewa unavyoelewa na mimi nifaendelea kuelewa ninavyoelewa. Thanks
Umekalili endelea hivo hivo.
Na hatubishani nilikua nakusahihisha.
 
Ndgu yangu ndgu yangu kwani hali za wasaanii wetu wa hip hop hatujui ama??

Acha porojo basi man, huko ni kujifariji tu mzeee.

Unataka kunambia hawa wabana pua wakiuza kazi zao kwa njia ya hand to hand itawalipa zaidi ya hii wafaanyayo sasa?? Huko ni kudanganyana waziwazi.

Hao wanafanya ivo kwakua na wana mashabiki wachache. Huwezi kua msanii mkubwa halafu kazi zako ukauza localy namna hiyo mkuu.

Mfano tu, una mashabiki zaidi 10,000 na wote wanaitaka album kwa muda huo na kwa njia tofauti tofauti, mtawamudu vipi. Mbona utatoboka sana kuajiri watu wakusambazie kwa njia ambazo wewe huzifikii kirahisi.

Usalama wa kazi zako ni mdogo, mtu unamtumia nae anaweza kuiuza coz usimamizi ni mdogo mno. Wewe ndo mkuu, wewe ndo msanii, msambazaji, media tour ww hizo kazi utamudu vipi??
Miaka ya nyuma niliwahi kuwa karibu na Tamaduni/Lunduno the inc kwa ujumla,nilikuwa nakutana na wahusika kwenye haya makundi tajwa hapo,siku moja nilimsikia One the Incredible {moko/uno} ya kuwa changamoto anazo pata ni kwamba akitoa leo nakala zake basi kesho asubuhi tu zishaisha,hiyo ndo changamoto alizo kuwa anakabiliana nazo,sasa huyo hapati faida ki vipi ikiwa nakala zake zote zinaisha kwa muda wa masaa 24 na anauza mkononi kipindi hiko?,au unataka wawe kwenye mifumo gandamizi?
 
Nakala ngapi sasa? inawezekana anatoa nakala 10😃😃
 
Miaka ya nyuma niliwahi kuwa karibu na Tamaduni/Lunduno the inc kwa ujumla,nilikuwa nakutana na wahusika kwenye haya makundi tajwa hapo,siku moja nilimsikia One the Incredible {moko/uno} ya kuwa changamoto anazo pata ni kwamba akitoa leo nakala zake basi kesho asubuhi tu zishaisha,hiyo ndo changamoto alizo kuwa anakabiliana nazo,sasa huyo hapati faida ki vipi ikiwa nakala zake zote zinaisha kwa muda wa masaa 24 na anauza mkononi kipindi hiko?,au unataka wawe kwenye mifumo gandamizi?
Mzee mi sikubaliani na huo mfumo wa kuuza mkononi kwasababu haufikii watu wengi.
Faida anaweza kupata kulingana na malengo aliyojiwekea.

Nachopinga ni kusema hiyo ya kuuza mkononi ina faida zaidi ya kuuza kwa kutumia platforms.

Tuchukulie tu mfano msanii aliekuja juzi tu hapa, Marioo. Hivi kweli anaweza kuuza kazi zake kama hao tamaduni na akafaidika zaidi ya anavofaidika sasa kwa kutumia platforms.
 
Pili, hawawezi kujibrand yani unakuta msanii mchafu kavaa makubazi anakula kashata mitaani hawezi kuvutia makampuni kumtumia kama image ya biashara zao.
Hiyo dhana ya kuvutia makampuni si kazi ya msanii, msanii kazi yake ya kutoa kazi za sanaa ziwafikie walengwa. Ili afanikiwe anahitaji mpango wa kibiashara hiyo bidhaa yake ifike sokoni apate faida.
 
Nyie mziki wenu una support sana kutoka kwa mashg tu
Hiphop ipo milele na itakuwepo

Ova
 
Back
Top Bottom