Yes, mitandaoni kuna upuuzi mwingi sana. Lakini turudi kwenye swala la msingi, wana hawana kitu, huku kuishi uhalisia kudai sijui ndio hip-hop ni kujificha tu na kuukataa ukweli kwamba hawana hela. Wangekuwa nazo wangeishi uhalisia kwa style ya to give back to society lakini kwa bahati mbaya hawana kitu. Hakuna mtu asiyependa kuwa na mjengo wa maana na maisha swafi na familia yake. Huku kuendelea kuishi uswahilini ni sababu hatuna kitu, sio ndio hip-hop inavyotaka. Tupambane tupige hela tusapport movement.