sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #61
Kama ni hivyo ndio maana muziki wao umepotezwa na singeli.Hiyo dhana ya kuvutia makampuni si kazi ya msanii, msanii kazi yake ya kutoa kazi za sanaa ziwafikie walengwa. Ili afanikiwe anahitaji mpango wa kibiashara hiyo bidhaa yake ifike sokoni apate faida.
Kwenye platform unawatajirisha wengine ndugu,yani hapo hupati asilimia 100 tena hata 70 hazifiki.Mzee mi sikubaliani na huo mfumo wa kuuza mkononi kwasababu haufikii watu wengi.
Faida anaweza kupata kulingana na malengo aliyojiwekea.
Nachopinga ni kusema hiyo ya kuuza mkononi ina faida zaidi ya kuuza kwa kutumia platforms.
Tuchukulie tu mfano msanii aliekuja juzi tu hapa, Marioo. Hivi kweli anaweza kuuza kazi zake kama hao tamaduni na akafaidika zaidi ya anavofaidika sasa kwa kutumia platforms.
Hawezi kutoa nakala kumi mkuuNakala ngapi sasa? inawezekana anatoa nakala 10[emoji2][emoji2]
Maalim Nash huwa anagonga biriyani pale Temeke kwa mdau mmoja maarufu pale, ila kuna wadau wataponda kwa nini biriyani asingegonga pale kwa Shishi Food.Twende mbele turudi nyuma, huyo jamaa anayekula kachori daaah mbona najikuta siamini kama ni mwana hip hop [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Ngoja niende mjini Yutyubu nikaone kazi zake
Mfano mmoja wa hizo platforms!Nilishangaa sikua naangaalia clouds kuna msanii wa hip hop alikua anatambulisha album yake. Na njia za kuipata akasema eti unamcheki whatsapp unatuma ela anakutumia album.
Nilishangaa mno aisee kwa utandawazi huu kweli unauza album kwa whatsapp.!!?
Wakati hata dancers, wasanii chipukizi hawafanyi hixo mishe bali wanauzia kwenye platforms mbalimbali na mkwanja unaingia mwingi tu.
Boomplay, spotify, apple music, mdundo, mziiki, youtube etc
Kwa mfano;Boomplay inafanyaje kazi mpaka msanii anaingiza kipato?Boomplay, spotify, apple music, mdundo, mziiki, youtube etc
Kwa mfano;Boomplay inafanyaje kazi mpaka msanii anaingiza kipato?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Boomplay, spotify, wasafi nk
Humu JF kila mtu anamiliki crown athlete..tunaishi mbezi beach, oysterbay na masaki πMi nadhani watu wasijifiche kwenye kuishi uhalisia. Ukweli ni kwamba watu hawana chapaa. Kama wangekua na chapaa wangeshatoka uswahilini na kwenda kujenga mijengo nje ya mji huko au maeneo mazuri zaidi. Ila kwavile hatuna kitu inabidi tubaki huku huku uswazi na tutetee uhalisia. Tuache kutetea umaskini.
Yes, mitandaoni kuna upuuzi mwingi sana. Lakini turudi kwenye swala la msingi, wana hawana kitu, huku kuishi uhalisia kudai sijui ndio hip-hop ni kujificha tu na kuukataa ukweli kwamba hawana hela. Wangekuwa nazo wangeishi uhalisia kwa style ya to give back to society lakini kwa bahati mbaya hawana kitu. Hakuna mtu asiyependa kuwa na mjengo wa maana na maisha swafi na familia yake. Huku kuendelea kuishi uswahilini ni sababu hatuna kitu, sio ndio hip-hop inavyotaka. Tupambane tupige hela tusapport movement.Humu JF kila mtu anamiliki crown athlete..tunaishi mbezi beach, oysterbay na masaki π
BTW username yako ya kibabe sana.
Haipingwi master πYes, mitandaoni kuna upuuzi mwingi sana. Lakini turudi kwenye swala la msingi, wana hawana kitu, huku kuishi uhalisia kudai sijui ndio hip-hop ni kujificha tu na kuukataa ukweli kwamba hawana hela. Wangekuwa nazo wangeishi uhalisia kwa style ya to give back to society lakini kwa bahati mbaya hawana kitu. Hakuna mtu asiyependa kuwa na mjengo wa maana na maisha swafi na familia yake. Huku kuendelea kuishi uswahilini ni sababu hatuna kitu, sio ndio hip-hop inavyotaka. Tupambane tupige hela tusapport movement.
Kweli kabisa, kufake life style nao ni udwanzi wa hali ya juu.Haipingwi master π
Hakuna asiependa maisha mazuri, ata hivo bora anaeuza watsapp album anapata hela yake kiuhalali kuliko ku fake maisha af wakiugua wanaomba misaada.
Uyo kwa jamii ya watu wa hip hop alishatoka kitambo ni A list kabisa..Sijawahi kumsikia MC Nash lakini nimeingia youtube nimeangalia nyimbo zake, yuko vizuri na nyimbo yake ya Maneno naona kaeleza struggle yote ya mziki wa hip hop bongo, pole brother labda kuna siku utatusua
A - list kabisa kwa sisi watu wangumu..take your time skiza mipini ya bwana nashiri,Nash mc,Madina,uchebe..nakupa hints kaskilize ngoma hizi chache tu ..naandika,funzo,mitihani,maneno,tabia,sauti..alafu urudi hapa tuendele na mjadala.Twende mbele turudi nyuma, huyo jamaa anayekula kachori daaah mbona najikuta siamini kama ni mwana hip hop [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Ngoja niende mjini Yutyubu nikaone kazi zake
View attachment 2404319
Ridhaa ya nini na amepost kwenye page yake.....wewe unaona picha za hovyo zinashusha brand yake yeye anaona ndio kuwa real π€£π€£π€£ hiphop wabadilike aiseee