Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

mbona wote ni wabaya halafu unawaita wazuri? ukiachilia huyo namba moja waliobakia wote hawana sifa za kuitwa wazuri
 
Renee lamira....alitesa na kibao chake cha "fitina"

download.jpeg
 
Kuna verse alimtusi Inspector....Domo kama chai chaba,punguza ngenga, wenzako watakugonga.
Mmmhh hii verse naisahau kidogo ila nafikiri hii ngoma ilikua ni dongo la Sister P.

Kwakua ukikumbuka vizuri utagundua huu ndiyo wimbo wa pekee wa Zay B uliotamba kuliko zingine na ndiyo huu ulikua diss kwa Sister P.
 
Ngoja nikitulia nitautafuta,kitambo tena tushasahau hizi ngoma.
 
Rah p yupo jela sana si angedanga kwa mwanasiasa hapa mjini
 
List haiwezi kukamilika bila kumuweka Fatma yule dada yake na Hardmad, dada alikuwa anaimba aisee, kipindi hiko bila kumuweka kwenye chorus wimbo wako haukubaliki kitaa.

Ule wimbo wa Eno mic wa Ziggy D wa Uganda mpaka leo nausikilizaga saana hasa kile kisauti cha huyu bidada.
 
Zilikuwa siku nzuri sana zile. Bongo ilikuwa nzuri full viwanja maisha yalikuwa mazuri band kibao. Siku hizi wasanii wanaimba upumbavu matusi tu nyimbo hazina maana kabisa. Old school zile burdan sana!
 
Mkuu,

Kuna jackie marie yule dada aliimba "tulia"..niliupenda sana ule wimbo still bado naupenda

"Wamepania kututenga mimi nawe lalaazizi tena wametuonya mm nawe hatudu"

"Utulie mpenzi wangu mimi chaguo lako, wasikutishe kwa maneno mimi ni wako mahabuba"

Yuko wapi huyu dada?
 
Back
Top Bottom