Wasanii wa kiume wenye macho ya kuvutia Tanzania

Ukimalizamacho uje midomo
Namba one adimame domomd mwenyewe,hivi mdomo wa diamond ulipoteleaga wapi
 
Mbona hii comment yako inajipinga yenyewe?

Mwanzo unasema una vipesa vyako na hua huombi hela wanaume ila hapo hapo unasema wakaka wazuri hawanaga hela ya maana hadi wanakera,

Sasa kama hua huwaombi hela,kitu gani kinakufanya wewe ukereke kwa wao kutokua na hela? na huo ubahili wao,wewe umeujuaje ikiwa huwaombi hela? kwanini ukereke kwa maisha ya mtu mwingine?

Umewapitia wakaka wangapi wazuri hadi sasa ambao walikua hawana hela ya maana mpaka ukafikiria hiyo conclusion yako ya kuhukumu wakaka wote wazuri?
 
Kwahiyo ndo uniite Panya haki sijapenta [emoji17] sahivi nimezipata sina ubahili tena
 
Kwa hiyo sisi mwenye sura personal na hatuna pesa tuuwawe sio?
 
Wewe ni ME au KE
 
Yavutie ili waliwe au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…