Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa naona uvivu kuuliza nashukuru upo unayewasilisha mawazo yangu kama yalivyoKwani mtu hawezi kusema hapana mara mbili?
Atakuwa anajua wenzie lugha haipandi kwahiyo ili asiharibu ama kuwachajganya inabidi aweke na kiswahili ili kuwaelewesha na sio kuweka msisitizo kama wadau wasemavyoAnaweza kusema" NOOOOO"
halafu akaongeza " HAPANA"
sasa najiuliza haya maneno Yana maana 2 tofauti?
😄😄😄😄😄😄😄 Nchi ngumu Sana hii, na hapo yeye anaona ameosha kinyamaAnaweza kusema" NOOOOO"
halafu akaongeza " HAPANA"
sasa najiuliza haya maneno Yana maana 2 tofauti?
Ha haaa haaaWewe unakitafuta Kifo haraka! Jifunze kuignore ukiwa mstaafu
English yenyewe haimuduYani anakera huyoooo,kila tamthiliya yeye ni kujifanya kuongea kiinglishi
[emoji3][emoji3] Labda atajirekebisha [emoji1745]Kanifanya mpaka sasa siangalii tena anakera aisee
PichaWellu Sengo
Ajjacio kaniua Jana *****Kwani mtu hawezi kusema hapana mara mbili?
😂😂😂😂Ajjacio kaniua Jana *****
Umeona lakini alichonijibu?😅Nilikuwa naona uvivu kuuliza nashukuru upo unayewasilisha mawazo yangu kama yalivyo
Kumudu anamudu sema naazingua.English yenyewe haimudu
Vingine vunga tu.Ila jamani bongo movies ni washamba hata kiuhalisia. Niliangalia bongo movies awards iliyofanyika Mbeya sikuweza kuendelea nilibadili channel.
Watu ni washamba wanachezacheza na kujichekesha wengine watu wazima utadhani kijana wa form two. niliona aibu.
Kesho yake naangalia matukio yaliyotokea jana yake naona zee zima eti limepata award linalia michozi hadi mikamasi inamtoka.
Hadi leo nashangaa labda mimi nina matatizo.
Akuuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hulali mjukuu?