Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Alitamka hivi baada ya kushindwa kupata sapoti kutoka kwa wasanii wenzie kipindi cha kampeni,alafu hao hao wanaenda kufanya kampeni kwa chama cha kijani huku wakiwa wanataka sugu anawasemee matatizo yao bungeniWasanii walimwambiaga mh mbona ututetei bungeni akawajibu Mimi siyo mbunge wa wasanii, miye ni mbunge wa wana mbeya akaongeza pia kuwa kipindi anaomba ubunge uko mbeya wasanii hawakwenda masapoti kwaiyo wamuache
My take
Msitusumbue wasanii sugu alishaga tukataa wenzake alisema yeye ni mbunge wa mbeya so ngoja afike mbeya wanainchi watajaa kwake kwa wing tu.
usiku mwema!Siyo ndiyo hapo hoja yangu ilipolalia? Hoja yangu ni hii: kama mtu mmoja anaweza ku-control watu wengi namna hii kuwapangia waende kumpa pole nani anapougua au anapofiwa (kitu ambacho siyo kosa kwa namna yoyote ile) basi tatizo litakuwa kwa wale wanaokubali kupangiwa na siyo yule anayewapangia. Mnataka kuniambia watanzania kwa wingi wetu tumefika mahali tunatishwa na kiumbe mmoja kama nyumbu wanavyotishwa na simba?
Halafu na wewe unaongeza upumbavu mwingine. Kwa nini lakini?
Aise unaimani haba hata shetani kakushindaKwanza nimshukuru sana Mungu kwa kuzuia wanafiki wenye akili za kichawi kutoka ccm kwenda kwenye msiba huu , hii ni baraka kwa mama yetu , Msiba ukihudhuriwa na wachawi roho ya marehemu huishia ardhini tu .
Jamani hebu tuwaze kwa kutumia angalau nusu ya ubongo. Huyo mtu anayeogopewa hivyo ana nguvu gani? Wabunge wasipoenda kumsalimia mgonjwa wa upinzani analaumiwa fulani, wasanii wasipoenda kutoa rambi rambi kwa mwenzao analaumiwa fulani! Hivi hamwoni kama kuna mtu mmoja mwenye nguvu za kumiliki utashi wa watu wengi namna hiyo basi tatizo litakuwa kwa hao wanaokubali kulazimishwa kufanya mambo kinyume na utashi wao?
.Wadau.
Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.
Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea itafika mahali mtu atakuta mtu ambae sio wa chama chake kapata ajali atashindwa kumsaidia
Yani sugu pamoja na heshima aliyonayo kwenye mziki wa bongo flavor leo kafiwa na mzazi mmeshindwa hata kwenda msibani
Asante suma G, Kala Jeremiah, papi choka na Nguza Viking kwa kushiriki ibada ya kumuombea mama yetu
Nasema kuna maisha baada ya unafiki.
mr mkiki
View attachment 849586
Sent using Jamii Forums mobile app
....ulipewa kitengo cha kuratibu wanao hudhuria maziko !?Wadau.
Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.
Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea itafika mahali mtu atakuta mtu ambae sio wa chama chake kapata ajali atashindwa kumsaidia
Yani sugu pamoja na heshima aliyonayo kwenye mziki wa bongo flavor leo kafiwa na mzazi mmeshindwa hata kwenda msibani
Asante suma G, Kala Jeremiah, papi choka na Nguza Viking kwa kushiriki ibada ya kumuombea mama yetu
Nasema kuna maisha baada ya unafiki.
mr mkiki
View attachment 849586
Sent using Jamii Forums mobile app
Nia yake atengeneze tu lawama ya kuwa kuna watu hawakwenda kisa kuna mtu anawatisha !unafiki tu umemjaaKwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Huwa nakuona kama tope, tena bila samahani.Huwa nakuona kama jiwe, samahani...
JiweSuma G, kala jeremiah, nguva vicking Papi kocha wameshiriki kwenye kuaga mwili wa Mama Jongwe, Ulihitaji wasanii wapi ndo ukubali kuwa wasanii wameshiriki
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mwanaume wa Dar sehemu gani?
La kijinga na kipumbavu? Huoni kama kweli lipo kundi la watu ambao wanaogopa kumsabahi mgonjwa au kumpa pole aliyefiwa kwa sababu wanamwogopa mtu fulani basi kuna tatizo kubwa kabisa? i.e. hao wanaopangiwa watakuwa na matatizo?Mbona unajiuliza swali la kijinga na kipumbavu sana? Ina maana akili yako imeshindwa kupata jibu?
Sifa ya "Sugu " kwenye Bongo Flava ni ya pekee, kwa msiba huo huwezi kulinganisha na mambo ya chama chake. Viongozi wa chama wako nchi nzima na wapo walioko nje ya Dar, na pengine wataenda Mbeya.Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Kwanza nimshukuru sana Mungu kwa kuzuia wanafiki wenye akili za kichawi kutoka ccm kwenda kwenye msiba huu , hii ni baraka kwa mama yetu , Msiba ukihudhuriwa na wachawi roho ya marehemu huishia ardhini tu .
....kila mtu ale jeuri yake, lawsma ya nini !?Alitamka hivi baada ya kushindwa kupata sapoti kutoka kwa wasanii wenzie kipindi cha kampeni,alafu hao hao wanaenda kufanya kampeni kwa chama cha kijani huku wakiwa wanataka sugu anawasemee matatizo yao bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew mwenyewe lipumbavuNajilaumu kwa nini nimefungua na kusoma hii mada ya kipumbavu.