Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watakula keki ya TaifaJana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?
Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?
Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo
Huku pesa ni za Rais na siyo mali ya ummaJana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?
Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?
Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo
Hizo ni baadhi ya athari zitokanazo na Mamlaka makubwa ya Kikatiba na kisheria wanayopewa baadhi ya viongozi so bado kuna safari ndefu kuelekea ukombozi wa kifikra.Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?
Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?
Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo
Kwani neno ”MUHESHIMIWA” siku hizi limeshushwa thamani?Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?
Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?
Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo
Kwa hii katiba ya kijinga hata wewe ungefanya maana wananchi nao ni wajinga haswaKenya inapiga hatua, Tz iko busy kufanya mambo ya kipuuzi
kwepa kodi kadiri uwezavyo
Acha matusi kwa watanzania .wewe ndio mjinga .Kwa hii katiba ya kijinga hata wewe ungefanya maana wananchi nao ni wajinga haswa
Ruto Juzi kasafiri na wasanii kwenda Marekani 🐼Kenya inapiga hatua, Tz iko busy kufanya mambo ya kipuuzi
kwepa kodi kadiri uwezavyo
Kenya siyo wenzetu. Na Ruto alialikwa huko siyo kama huyu wetu anaendaga huko kujipuyangia tu. Ona madude aliyopata!Kenya inapiga hatua, Tz iko busy kufanya mambo ya kipuuzi
kwepa kodi kadiri uwezavyo
Posho,hotel na gharama zote za wasanii tutakuwa tunatoa sisi serikali mtatufanya nn?....Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?