Pre GE2025 Wasanii wakisafiri na Rais nje wanakwenda kutumbuiza? Nani atagharamia safari zao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?

Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?

Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo
Kwani wafanyabiashara wanaoambatana na Rais ulipiwa na nani?
 
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?

Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?

Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo
Elimu , elimu,elimu.

Ikumbukwe rais wa nchi ile hata elimu yake ni ya kuunga unga.
 
Hivi
Hoja zako ni dhaifu kwa sababu ilielezwa sababu ya kwenda nao nje ya nchi. Pili unaposema misafara mirefu Ni hoja dhaifu maana hajasema kuwa ataambatana na wasanii wote wanaopatikana katika nchi hii.bali ni kwa kuchagua tu msanii hata mmoja au wawili kwa safari moja. Lakini pia unaposema habari za gharama nayo ni hoja dhaifu sana kwa sababu Mheshimiwa Rais kwa kutumia mshahara wake tu hawezi kushindwa kumlipia na kumsafirisha msanii mmoja au wawili katika safari yake.

Ikumbukwe wasanii wana ushawishi mkubwa sana na wanafaida kubwa sana katika kuitangaza nchi yetu na ni miongoni mwa watu walioitangaza na kuipeperusha vyema sana bendera ya Taifa letu Duniani kwote. Jiulize pia wasanii kama Diamond ana wafuasi wangapi wanaomfuatilia mtandaoni?

Usiwe na mawazo mafupi.fikiri na tumia vyema akili yako.
Hivi unajua kuwa watu wanakuona we ni mjinga Sana! Au ww ufahamu hivyo, kwanini ww Kila Jambo la kipuuzi unapenda kulitetea.
 
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?

Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?

Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo
This is Africa bro.. tulidai Uhuru mapema saana..
 
Unauliza mavumbi stoo?
 
Hoja zako ni dhaifu kwa sababu ilielezwa sababu ya kwenda nao nje ya nchi. Pili unaposema misafara mirefu Ni hoja dhaifu maana hajasema kuwa ataambatana na wasanii wote wanaopatikana katika nchi hii.bali ni kwa kuchagua tu msanii hata mmoja au wawili kwa safari moja. Lakini pia unaposema habari za gharama nayo ni hoja dhaifu sana kwa sababu Mheshimiwa Rais kwa kutumia mshahara wake tu hawezi kushindwa kumlipia na kumsafirisha msanii mmoja au wawili katika safari yake.

Ikumbukwe wasanii wana ushawishi mkubwa sana na wanafaida kubwa sana katika kuitangaza nchi yetu na ni miongoni mwa watu walioitangaza na kuipeperusha vyema sana bendera ya Taifa letu Duniani kwote. Jiulize pia wasanii kama Diamond ana wafuasi wangapi wanaomfuatilia mtandaoni?

Usiwe na mawazo mafupi.fikiri na tumia vyema akili yako.
acha upindi wananchi ni maskini sana hafu utumie pesa za kodi hovyo kwa wasanii hii haikubaliki
 
Kazi muhimu ya hawa wasanii ni kuwaandaa kwa ajili ya kampeni zinazokuja 2024 na 2025. Hakuna lingine zaidi ya hapo.
 
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?

Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?

Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo

Rais mnae
 
acha upindi wananchi ni maskini sana hafu utumie pesa za kodi hovyo kwa wasanii hii haikubaliki
Mimi sina uhusiano wowote na huyo 'chizi' uliye mjibu hapo, lakini je, akikujibu kwamba hizo hela siyo za "maskini walipa kodi", utapata nafuu kidogo katika maumivu yanayotupata sote kuhusu utapanyaji wa kodi zetu?

Binafsi, ingeniumiza zaidi, ikijulikana kuwa hizo pesa ni kutoka kwa wafadhiri toka nje wanaotununua sasa hivi kama bidhaa ili waweze kufanya mambo yao hapa kwa raha zao wenyewe bila ya bughdha toka kwa yeyote.

Huyu mama anayo mahela mengi tu ya vinchi tajiri toka uarabuni. Akipata miaka yake mingine mitano hawa wafadhili ndio watakuwa mabosi wetu. Wamekwisha anza na Bandari, na mbuga zetu, na hata misitu na ardhi sasa tunawakatia mapande na kutuvurumisha mbali sisi wenyeji.
Hiyo ndiyo hofu yangu kubwa kwa Tanzania yetu hii; na wala siyo vikodi vyetu, ambavyo hivyo vinaliwa na waliopewa kamba ndefu.
 
Back
Top Bottom