Pre GE2025 Wasanii wakisafiri na Rais nje wanakwenda kutumbuiza? Nani atagharamia safari zao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani wafanyabiashara wanaoambatana na Rais ulipiwa na nani?
 
Elimu , elimu,elimu.

Ikumbukwe rais wa nchi ile hata elimu yake ni ya kuunga unga.
 
Hivi
Hivi unajua kuwa watu wanakuona we ni mjinga Sana! Au ww ufahamu hivyo, kwanini ww Kila Jambo la kipuuzi unapenda kulitetea.
 
This is Africa bro.. tulidai Uhuru mapema saana..
 
Unauliza mavumbi stoo?
 
acha upindi wananchi ni maskini sana hafu utumie pesa za kodi hovyo kwa wasanii hii haikubaliki
 
Kazi muhimu ya hawa wasanii ni kuwaandaa kwa ajili ya kampeni zinazokuja 2024 na 2025. Hakuna lingine zaidi ya hapo.
 


Rais mnae
 
acha upindi wananchi ni maskini sana hafu utumie pesa za kodi hovyo kwa wasanii hii haikubaliki
Mimi sina uhusiano wowote na huyo 'chizi' uliye mjibu hapo, lakini je, akikujibu kwamba hizo hela siyo za "maskini walipa kodi", utapata nafuu kidogo katika maumivu yanayotupata sote kuhusu utapanyaji wa kodi zetu?

Binafsi, ingeniumiza zaidi, ikijulikana kuwa hizo pesa ni kutoka kwa wafadhiri toka nje wanaotununua sasa hivi kama bidhaa ili waweze kufanya mambo yao hapa kwa raha zao wenyewe bila ya bughdha toka kwa yeyote.

Huyu mama anayo mahela mengi tu ya vinchi tajiri toka uarabuni. Akipata miaka yake mingine mitano hawa wafadhili ndio watakuwa mabosi wetu. Wamekwisha anza na Bandari, na mbuga zetu, na hata misitu na ardhi sasa tunawakatia mapande na kutuvurumisha mbali sisi wenyeji.
Hiyo ndiyo hofu yangu kubwa kwa Tanzania yetu hii; na wala siyo vikodi vyetu, ambavyo hivyo vinaliwa na waliopewa kamba ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…