I hate myself coz' I am too cold hearted!! Muuza unga, kwangu ni hustler manake anatafuta pesa! Mla unga; shauri yake na ufa'la wake... how come mtu mzima na akili zako timamu unatumia pesa uliyoitafuta kwa jasho kununulia unga ambao unajua kabisa kwamba utakuua?! Yaani demu kakuambia live kwamba ana ngoma-- vyeti kakuonesha, Vidonge vyake vya kurefusha maisha kakuonesha halafu bado unamng'ang'ania! Na siku anakupa, unaenda kavu kavu kwa makusudi halafu utarajie itokee cku nije kukuhurumia kwa kupata gonjwa sugu?! Shenzi taipu zako. Hapa nasiktika kuzikosa kazi za Chidi Benz manake nilikuwa nazikubali lakini sisikitiki kumkosa Chidi Benz! Kama wewe ni teja shauri yako na ufa'la wako lakini kama wewe ni muuza unga, stay blessed... najua unatafuta kupitia mgongo wa mazombi.