Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Kuna jamaa alishaniambia kuwa wanatumia madawa kwa madhumuni ya kuongeza ubora kwenye game kitandani.

Tunajua wasanii huwa ratiba zao zimewabana sana kwa hiyo hata ukifikia muda wa faragha perfomance zao huwa ni mbovu.

Wanaanza mdogo mdogo kutumia poda na wanasema ukishapiga hayo mambo game yako inakuwa hatari.

Mwisho wa siku wanakuwa addicted mazima na unga.
 
Kati ya wasanii (wanaodaiwa 'kula unga') ambao huwa nikiwaona walivyopungua na kupoteza mwili mzuri waliokuwa nao hapo awali ni Chid Benz.

Je, kuna ambae kwa upande wako anakusikitisha?
Chid Benz amenisikitisha sana
 
Tatizo lilipo kwy Soko letu la bongo flavor kwamba wadau wa Music wengi wanafanya biashara ya madawa ya kulevya. Na ndio maana wasanii wengi wanajikuta wanaingia ktk ishu ya Heroine and Cocaine bila kujua. Unakuta bossi wake anamtuma anampa pesa na kukataa uwezi. Mwisho wa siku ktk kufanya biashara. Sasa siku nyingine unapewa mzigo wajanja wanakudhulumu pesa Wakati ushafahamu mtandao wote wa Heroine and cocaine. Na wengi wasanii walionekana wanaenda tofauti na mabosi wao ndio unakuta. Awampi shoo za kupata pesa mwisho wa siku anakuwa kaingia mtandao wa madawa. Hii Bongo flavour tunadanganyana eti kafanya show kalipwa sjui bei gani. Uwongo mtupu wengi nyuma ya pazia ni biashara ya Heroine and cocaine.
Wengine unakuta kagongea Sigara ambayo omechanganywa na cocaine
Wengine wanajikuta wameingia kutokana..................
 
Halafu hivi unajua kama Katema na mfadhili wake bwana QS? halafu kwa maelezo ya Chillah jamaa alikuwa ana mshawishi aingie kwenye biashara ya kuwa punda.
Du jamaa ni mshkaji wangu mno ila sikujua kama anafanya hiyo biznee...qs
 
Kwa jinsi unga ulivyo na nguvu....itachukua muda na jitihada za kweli za wadau wa muziki kuondoa hii kitu...faida ni kubwa kwa wasanii ambao wanaanza...na hakuna wa kuwalinda...
 
Kati ya wasanii (wanaodaiwa 'kula unga') ambao huwa nikiwaona walivyopungua na kupoteza mwili mzuri waliokuwa nao hapo awali ni Chid Benz.

Je, kuna ambae kwa upande wako anakusikitisha?
Hakuna hata mmoja wa kusikitikia kwani wali lazimishwa,na waendelee tu kubwia na kujidunga wanenepe.
 
Kuna mmoja anaitwa rado alikuwaga anasomea ifm anatokea mwanza alikuwa na nywele ndefu. Dah nilimkuta kinondoni studio aisee nilisikitika sana alivoisha
Madawa hatare sana

Rado hatumii hayo madawa huo ni mwili wake,ni classmate wangu na rafiki pia hivyo namfahamu vizuri.
 
VIPI UTAMUONEA MTU HURUMA KWA MAISHA ALOYACHAGUA MI NAONA NI UJINGA NABUPUMBAVU KUTOA HELA KUMSAIDIA MTU KUTOISHI MAISHA ALOYACHAGUA
 
I hate myself coz' I am too cold hearted!! Muuza unga, kwangu ni hustler manake anatafuta pesa! Mla unga; shauri yake na ufa'la wake... how come mtu mzima na akili zako timamu unatumia pesa uliyoitafuta kwa jasho kununulia unga ambao unajua kabisa kwamba utakuua?! Yaani demu kakuambia live kwamba ana ngoma-- vyeti kakuonesha, Vidonge vyake vya kurefusha maisha kakuonesha halafu bado unamng'ang'ania! Na siku anakupa, unaenda kavu kavu kwa makusudi halafu utarajie itokee cku nije kukuhurumia kwa kupata gonjwa sugu?! Shenzi taipu zako. Hapa nasiktika kuzikosa kazi za Chidi Benz manake nilikuwa nazikubali lakini sisikitiki kumkosa Chidi Benz! Kama wewe ni teja shauri yako na ufa'la wako lakini kama wewe ni muuza unga, stay blessed... najua unatafuta kupitia mgongo wa mazombi.
 
b49dc49ebc8da3f675cd1c7baa642a07.jpg
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Dogo mfaume akiwa ktk maisha yake.
 
Ishu ya madawa sio ya kuwakebei wengi wanaingizwa bila kujua. Mwisho wa siku ndo ivyo gari inakuwa imewaka
 
Unamvutisha madawa, amehamia Kino sasa kwa kumrubuni eti unamsaidia arudi kwenye game na kumpa urais wa lebo uchwara eti Radar Entertainment huku unamvutisha hasa maunga, si mda atakufa maana lishe f sasa.
 
Back
Top Bottom