Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

Hii serikali ya kijinga sana. Wasanii wanapanda na mashoga jukwaani wanawaangalia tu halafu wanajifanya nchi yetu ina maadili pambav sana.
Bora tuvute bangi tu
Kuna huyu mmoja alikua stage na Diamond anakatika kama demu, na watu wanafurahia.

Kuna mashoga wanajitangaza kabisa

Kuna wanawake wanajiuza kabisa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
How do you call weed in your language
Tanzania tunaita bangi
Kenya tunaita tishurumashesh
Ghana tunaita kdampee
Niger tunaita igway
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya Wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi na kusema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa Wasanii hao.

Akiongea na Waandishi wa Habari, Dar es salaam leo amesema “Kuna Wasanii wanahamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi, kama kuna Wasaniii ambao wanadhani badala ya kutunga nyimbo za kuhamasisha Jamii wao wanatunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya, sheria yetu inasema hao tutawachukulia hatua”

“Kama kuna Msanii anadhani anaweza kupata umaarufu kwa kupitia nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya hatutomuacha hata mara moja, sheria itachukua mkondo na ipo siku nitawaita Waandishi wa habari ili muone kitu gani tumekifanya kwa Wasanii wanaotaka kupata umaarufu kwa kutumia dawa za kulevya”

“Mbona mashairi yapo ya aina nyingi unashindwaje kutunga mashairi ya vitu vyote, si wahamasishe hata kilimo bora au biashara, kwani lazima wahamasishe mambo ya bangi? hatutoruhusu Mtanzania yoyote afanye uhamasishaji wa matumizi ya dawa za kulevya”
“Mbona mashairi yapo ya aina nyingi unashindwaje kutunga mashairi ya vitu vyote, si wahamasishe hata kilimo bora au biashara, kwani lazima wahamasishe mambo ya bangi? hatutoruhusu Mtanzania yoyote afanye uhamasishaji wa matumizi ya dawa za kulevya”[emoji1752]
 
Ila wakisema wakaze wengine ndo biashara zao.
Kuna mademu wana iphone 14 pro ila wanaishi nyumba za ajabu, usafiri wao daladala unabaki unamshangaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sio rahisi kutokomeza ukahaba au udangaji. Hii kitu ni worldwide. Lakini tunaweza punguza kwa kuzuia promotions za wazi wazi.
Watu wameshabikia Qatar kusimamia tamaduni na maadili yao wakati huku kwetu mambo ambayo tunajidai tunayapinga kwa kigezo kwamba sio maadili yetu tunayaacha wazi wazi wazi hakuna mwenye ubavu wa kukemea.
Tukemee uovu kama tunavyokemea mabehewa ...
 
Yaani huyo kusaya lazima ni shabiki wa kiba au wasafi
 
Sio rahisi kutokomeza ukahaba au udangaji. Hii kitu ni worldwide. Lakini tunaweza punguza kwa kuzuia promotions za wazi wazi.
Watu wameshabikia Qatar kusimamia tamaduni na maadili yao wakati huku kwetu mambo ambayo tunajidai tunayapinga kwa kigezo kwamba sio maadili yetu tunayaacha wazi wazi wazi hakuna mwenye ubavu wa kukemea.
Tukemee uovu kama tunavyokemea mabehewa ...
Labda kila mtu aanze kwa wanaomzunguka.

Tatizo wanawake wanapenda kitonga,wanaume nao wanapenda kitonga.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wanao kuzunguka labda watoto wako. Wengine huwezi kuwaingilia maisha yao
WASAFI

Wasanii wengi

Watu maarufu

Socialites wote husababisha watu watake maisha wasiyo yaweza, leo mtu anamuona mtu anajiropokesha mtandaoni mkononi kashika iphone14 pro, huku Crown.
Huyu mtu naye anajitoa ufahamu imradi tu aweze timiza ndoto zake.
Kifuatacho uharibifu.

Hata kwenye kusafirisha madawa ya kulevya, wengi hufuata waonavyo kwa watu wa karibu yao.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kweni pombe sio dawa ya kulevya?.. Binafsi nashauri mswada wa Bangi urudi bungeni tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Iruhusiwe tuu.. Itakuza uchumi kuliko tumbaku na ukizingatia haina madhara kama tumbaku pia
Badala wakataze sigara zinaharibu afya za watu wanahangaika na mmea mtamu kiasi hicho
 
How do you call weed in your language
Tanzania tunaita bangi
Kenya tunaita tishurumashesh
Ghana tunaita kdampee
Niger tunaita igway
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mozambique tunaita shuruma
 
Back
Top Bottom