Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

Khooo khooo khooo Yoyooooooo ,kwanza ganja n dawaaa....
JPEG_20221207_201146_1664744042954551320.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Mbona mashairi yapo ya aina nyingi unashindwaje kutunga mashairi ya vitu vyote, si wahamasishe hata kilimo bora au biashara, kwani lazima wahamasishe mambo ya bangi? hatutoruhusu Mtanzania yoyote afanye uhamasishaji wa matumizi ya dawa za kulevya”[emoji1752]
Kupanga ni kuchagua yeye kamishna atoe wimbo wa kuhamasisha kilimo.🤣🤣
 
Lil Wayne, Jay-Z, Kodak, Snopp na wengineo kibao nyimbo zao zimejaa mashairi ya kuutukuza huu mmea na ni wasanii wakubwa na wanatoka kwenye nchi kubwa kiuchumi duniani mbona hawakatazwi ni kwa sababu huu mmea hauna madhara kama tunavyoaminishwa na WAJINGA
unafiki mtupu ndio maana kama nchi hatuendelei kwa sababu ya mambo ya kijinga kama haya tunaacha mambo ya maana kama tozo, katiba mbovu, upungufu wa fedha za kigeni BOT na mengine mengi

SHUBAAMIT
 
Hili linchi la hovyo sana linakataza ganja wakati huo huo linaenda kuomba mikopo na misaada kwa nchi zinazolima ganja na zisizosumbua wananchi wake kuhusu uvutaji wa huo mmea
 
Siyo bhangi tu na unga, hata wanaoimba matusi ya nguoni kuhamasisha uasherati wamulikwe pia.

Bongo fleva sasa hivi imechafukwa, ni mitusi kwa kwenda mbele.

Hauwezi kustarehe ukasikiluza na mtu wako wa heshima ni aibu.

Nyimbo hizi zinawaathiri sana vijana kimaadili.
 
Lil Wayne, Jay-Z, Kodak, Snopp na wengineo kibao nyimbo zao zimejaa mashairi ya kuutukuza huu mmea na ni wasanii wakubwa na wanatoka kwenye nchi kubwa kiuchumi duniani mbona hawakatazwi ni kwa sababu huu mmea hauna madhara kama tunavyoaminishwa na WAJINGA
unafiki mtupu ndio maana kama nchi hatuendelei kwa sababu ya mambo ya kijinga kama haya tunaacha mambo ya maana kama tozo, katiba mbovu, upungufu wa fedha za kigeni BOT na mengine mengi

SHUBAAMIT
mkuu, wewe ni kiboko hutaki masihara.

umeamua ufungue ID kabisa yenye jina la Ganja ni dawa kulaani tamko la huyu kamishna sijui nani.
 
Itakuwa vyema pia na nyimbo zenye kuashiria jumbe za ngono nazo zipigwe marufuku.
Jumbe zenye viashiria vya kuchochea matumizi ya dawa za kulevya zinaelekea kwa wasanii wakiume na mashabiki wao wa kiume(kama wapo).
Ili kuweka uzani wa kimaadili ni busara pia kuangalia mashauri yenye jumbe zinazohamashisha ngono.
 
Back
Top Bottom