Wasanii zaidi ya 2000 Uingereza wasaini waraka kuilaani Israel

Wasanii zaidi ya 2000 Uingereza wasaini waraka kuilaani Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Wasanii wa kada zote nchini Uiengereza wanaozidi elfu mbili wamesaini waraka kuonesha kukerwa kwao na ukatili wa Israel kwa wapalestina.

Wasanii hao ni pamoja na Tilda Swinton, Steve Coogan, Charles Dance and Maxine Peake.Katika waraka wao huo wamesema wanaitaka Israel isitishe unyama wake mara moja na pia serikali ya UK isitishe misaada yake kwa taifa hilo kwani misaada hiyo ndiyo inayochochea ukatili wa Israel

=====

Actors’ open letter condemns ‘Israel’s war crimes’ but not Hamas massacre


1697690602322.png


An open letter signed by well-known actors condemning Israeli military actions has been criticised for failing to mention brutal terror attacks carried out by Hamas.

More than 2,000 artists, actors and musicians in the UK, including Tilda Swinton, Steve Coogan, Charles Dance and Maxine Peake, signed the letter.

They called for an immediate ceasefire in Gaza and for “our governments to end their military and political support for Israel’s actions”.

“Our governments are not only tolerating war crimes but aiding and abetting them,” the note, written by Artists for Palestine UK, added.

However, it did not mention the terror group Hamas - or the massacres it carried out earlier this month.

On Wednesday night, a former actor-turned-Tory MP said it was important to address “both sides” and that actors ought to think carefully before weighing in on such a sensitive issue.

Giles Watling, who sits on the culture, media and sport committee, said: “I think it’s a very complicated situation politically and historically and in this case, it is very important to present both sides of the issue.

“We must absolutely condemn the attacks of Hamas on Israel, yes, but of course, I have great sympathy for the Palestinian people and the suffering they have endured.

“But you can’t just present one side and not the other.”

‘Group of misfits and weirdos’

The Clacton MP, best known for his role as Vicar Oswald in the BBC sitcom Bread, added: “Everyone is entitled to a view, but actors will be aware of the powers of their views and they should try to think very carefully when they weigh in on sensitive issues like this.”

Meanwhile, David Mencer, former director of Labour Friends of Israel, went further and described the letter as “drivel”.
 
Hamas hakuinitiate yeye aliendeleza mgogoro wa siku nyingi.
In case you didn't know. Kunamakubalianoo yalisainiwa miaka miwili iliyopita kwamba hakuna pande yoyote itamshambulia mwenzie. Palestina kupitia Hamas kavunja makubalino kwa kufanya mashambulizi so huu ni muda wa wao kulia na kusaga meno. Somebody has to bear consequences of his deed.
 
Sir Elton John
sijui umejuwaje kuhushu kulaaniwa kwake.Pamoja na hivyo vitu huwa vinazidiana.Huyu itakuwa kaona wayahudi wanafanya mambo ya laana kuliko yake ndio akajiamini kuwalaani.
 
Hizo laana zao hao mashoga zitasaidia nini?
Zinatakiwa kauli zenye kuwapatanisha wayahudi na wapalestina waishi kwa pamoja kwa amani sio laana ambazo hazisaidii
 
Hizo laana zao hao mashoga zitasaidia nini?
Zinatakiwa kauli zenye kuwapatanisha wayahudi na wapalestina waishi kwa pamoja kwa amani sio laana ambazo hazisaidii
Kuna kauli za kupatanisha zenye nguvu kuliko za UN mbona nazo hazijasaidia.
 
Kuna kauli za kupatanisha zenye nguvu kuliko za UN mbona nazo hazijasaidia.
Mkuu shida ninayoiona mashariki ya kati ni ubinafsi.
Myahudi anataka aishi na mparestina kama kabila ndani ya Israel na sio taifa.
Na mparestina hataki kabisa kuishi na muisrael hata kumfanya kuwa jirani yake hataki.
Kila mparestina akiañzisha vita ardhi yake inazidi kumegwa mwisho atajikuta hana ardhi kabisa.
Kwa hali ilivyo mparestina angeachana na vita atafute suruhu kwa njia ya mazungumzo.
Huwezi kupigana vita huku umefungwa mikono. Waparestina hawana jeshi wala silaha za kufanya vita na wayahudi. Wanachokifanya hamas ni kuwaongezea shida raia wa parestina.
Hawaongezi kitu bali wanazidi kupoteza
 
Unashabikia
In case you didn't know. Kunamakubalianoo yalisainiwa miaka miwili iliyopita kwamba hakuna pande yoyote itamshambulia mwenzie. Palestina kupitia Hamas kavunja makubalino kwa kufanya mashambulizi so huu ni muda wa wao kulia na kusaga meno. Somebody has to bear consequences of his deed.
Unashabikia usichokijua
 
Back
Top Bottom