Wasanii zaidi ya 2000 Uingereza wasaini waraka kuilaani Israel

Wasanii zaidi ya 2000 Uingereza wasaini waraka kuilaani Israel

Hamas wamechinja watoto wa Israel na kuondoka na mama zao kama mateka na wengine wamechomwa 🔥 wakiwa hai ndani ya nyumba lkn jihadists hawaongelei kabisa hayo wao reaction ya Israel ndio wanaona.

Sasa kwa unafiki huo ngoja waisraeli wawachakaze tu hayo magaidi kwa sababu hawana cha kupoteza.
Hili hata hao US wameliktaa, wewe bado umemeza huo uharo wa mgaidi wa kizayuni pole sana.
 
Kwanza hayaruhusu
Wacha wadundane hadi akili ziwakae sawa
Sisi sio wayahudi wenzao wala sio waparestina wenzao.
Hayaruhusu!
Ubinadamu pia haukuhusu ?.Hata wanyama wako wengine huwa wanajali matatizo ya wenzao
 
Ubinadamu pia haukuhusu ?.Hata wanyama wako wengine huwa wanajali matatizo ya wenzao
Tuna matatizo kibao Afrika na hatuyajadili.
Vita kila kona, watu wanauwana kongo huko hata kuongelea tu hatutaki.
Tumeshuupalia ya watu baki ambao hata hatuna asili nao.
Kila kukicha tunajadili Ukrein vs Urusi
Sasa tupo Israel vs parestina
 
In case you didn't know. Kunamakubalianoo yalisainiwa miaka miwili iliyopita kwamba hakuna pande yoyote itamshambulia mwenzie. Palestina kupitia Hamas kavunja makubalino kwa kufanya mashambulizi so huu ni muda wa wao kulia na kusaga meno. Somebody has to bear consequences of his deed.
Wewe mpumbavu ni nani alimshambulia mwenzake mwanzoni mwa mwaka huu kule Jenin kwa kuua raia ? ,na kuvamia msikiti wa Alqsa na kupiga na kujeruhi waumini ?
Walichofanya Hamas October ilikuwa ni malipizi ya upuuzi walioufanya wazayuni mwaka huu .
Muwe mnakuwa informed ninyi wapuuzi ,hizo smartphones zenu na computer mnaangalia porn tu na kufuatilia umbeya
 
In case you didn't know. Kunamakubalianoo yalisainiwa miaka miwili iliyopita kwamba hakuna pande yoyote itamshambulia mwenzie. Palestina kupitia Hamas kavunja makubalino kwa kufanya mashambulizi so huu ni muda wa wao kulia na kusaga meno. Somebody has to bear consequences of his deed.
Soma hapo ujue nani alianza kumchukiza mwenzake
 
In case you didn't know. Kunamakubalianoo yalisainiwa miaka miwili iliyopita kwamba hakuna pande yoyote itamshambulia mwenzie. Palestina kupitia Hamas kavunja makubalino kwa kufanya mashambulizi so huu ni muda wa wao kulia na kusaga meno. Somebody has to bear consequences of his deed.
Huo unajisi uliofanyika Al aqsa moscue ulikuwa ni mwendelezo wa kilichofanyika Jenin , mazayuni walifanya mashambulizi kumi tena kwenye makazi ya raia ,yaliyosongamana .tena kambi ya wakimbizi .
Hii ilikuwa ni july ,mpuuzi wewe na wenzako ambao hamfuatilii mambo
Soma hapo

Ni nani alienda kufanya uvamizi na uharibifu kwenye makazi ya raia ambayo ni kambi ya wakimbizi ?
 
In case you didn't know. Kunamakubalianoo yalisainiwa miaka miwili iliyopita kwamba hakuna pande yoyote itamshambulia mwenzie. Palestina kupitia Hamas kavunja makubalino kwa kufanya mashambulizi so huu ni muda wa wao kulia na kusaga meno. Somebody has to bear consequences of his deed.
Mnakera sana na mnatia kinyaa , hayo mashambulizi yamefanyika mwezi wa saba na wa tisa ,halafu choko moja linalofukuliwa mtaro linakuja kuropoka hapa " wapalestina wachokozi "
Idiots
 
Hamas wamechinja watoto wa Israel na kuondoka na mama zao kama mateka na wengine wamechomwa [emoji91] wakiwa hai ndani ya nyumba lkn jihadists hawaongelei kabisa hayo wao reaction ya Israel ndio wanaona.

Sasa kwa unafiki huo ngoja waisraeli wawachakaze tu hayo magaidi kwa sababu hawana cha kupoteza.
Unarmed civilians waliouawa kwenye kambi ya wakimbizi pale Jenin kwa kupigwa risasi na wazayuni na waumini waliovamiwa kwenye msikiti wa Al Aqsa na kupigwa vibaya na wengine kuuawa kwa risasi wakati wanaswali wao ni nguruwe sio ?
 
Wasanii wa kada zote nchini Uiengereza wanaozidi elfu mbili wamesaini waraka kuonesha kukerwa kwao na ukatili wa Israel kwa wapalestina.

Wasanii hao ni pamoja na Tilda Swinton, Steve Coogan, Charles Dance and Maxine Peake.Katika waraka wao huo wamesema wanaitaka Israel isitishe unyama wake mara moja na pia serikali ya UK isitishe misaada yake kwa taifa hilo kwani misaada hiyo ndiyo inayochochea ukatili wa Israel

=====

Actors’ open letter condemns ‘Israel’s war crimes’ but not Hamas massacre

View attachment 2786089

An open letter signed by well-known actors condemning Israeli military actions has been criticised for failing to mention brutal terror attacks carried out by Hamas.

More than 2,000 artists, actors and musicians in the UK, including Tilda Swinton, Steve Coogan, Charles Dance and Maxine Peake, signed the letter.

They called for an immediate ceasefire in Gaza and for “our governments to end their military and political support for Israel’s actions”.

“Our governments are not only tolerating war crimes but aiding and abetting them,” the note, written by Artists for Palestine UK, added.

However, it did not mention the terror group Hamas - or the massacres it carried out earlier this month.

On Wednesday night, a former actor-turned-Tory MP said it was important to address “both sides” and that actors ought to think carefully before weighing in on such a sensitive issue.

Giles Watling, who sits on the culture, media and sport committee, said: “I think it’s a very complicated situation politically and historically and in this case, it is very important to present both sides of the issue.

“We must absolutely condemn the attacks of Hamas on Israel, yes, but of course, I have great sympathy for the Palestinian people and the suffering they have endured.

“But you can’t just present one side and not the other.”

‘Group of misfits and weirdos’

The Clacton MP, best known for his role as Vicar Oswald in the BBC sitcom Bread, added: “Everyone is entitled to a view, but actors will be aware of the powers of their views and they should try to think very carefully when they weigh in on sensitive issues like this.”

Meanwhile, David Mencer, former director of Labour Friends of Israel, went further and described the letter as “drivel”.
Awabarikiye Israel atabarikiwa, amlaaniye atalaaniwa. Makobazi mnajisumbua bure.
 
Hamas wamechinja watoto wa Israel na kuondoka na mama zao kama mateka na wengine wamechomwa 🔥 wakiwa hai ndani ya nyumba lkn jihadists hawaongelei kabisa hayo wao reaction ya Israel ndio wanaona.

Sasa kwa unafiki huo ngoja waisraeli wawachakaze tu hayo magaidi kwa sababu hawana cha kupoteza.
Wapigania Allah, kazi mnayo. Mnayempigania hataweza kuwaokoa na upanga wa watoto wa Yakobo.
 
Hamas hakuinitiate yeye aliendeleza mgogoro wa siku nyingi.
Sasa mzee wa Hamas kanda ya Buza mbona unapingana na Hamas wa Cassam Brigade wao wanasema Wamewaua raia na askari wa Israel kwa Sababu ya Ghasia za pale Al aqsa Mosque wakaipa na jina kabisa Operation Al Aqsa Flood au wewe ndio unajua zaidi enh?
 
Back
Top Bottom