Wasanii zaidi ya 2000 Uingereza wasaini waraka kuilaani Israel

Ushauri wa kimaskini
 
Hamas Wanashambuliwa kimya kimya na Israel ila media za west Huwa haziripoti kabisa.Watu wanadungwa sindano za sumu kimya kimya Israel so mjinga kuingia makubaliano na Hamas ye alitaka awamalize kimya kimya na ndo kitu alikuwa anafanya.Hii Dunia ni zaidi tuijuavo
 
Kumbe ni wasanii, sasa Kuna shida gani harmorapa akisaini waraka. Dua la kuku halimpati mwewe
 
Kumbe ni wasanii, sasa Kuna shida gani harmorapa akisaini waraka. Dua la kuku halimpati mwewe
Mpaka lini utabaki na mawazo hayo kuwa wapalestina ni kuku tu.
 
Mbona waisraeli walikuwa wanawashambulia na kuchukua maeneo ya wapalestina?
 
Mbona waisraeli walikuwa wanawashambulia na kuchukua maeneo ya wapalestina?
Hawajawahi kusimamisha mashambulizi na vitimbi vyao kwa wapalestina hata kuwe na makubaliano aina gani.Watayavunja tu.
 
sijui umejuwaje kuhushu kulaaniwa kwake.Pamoja na hivyo vitu huwa vinazidiana.Huyu itakuwa kaona wayahudi wanafanya mambo ya laana kuliko yake ndio akajiamini kuwalaani.
ss hv wasanii wa uingereza ni malaika?
 
ww ujue hlf media za BRICS zisijue au zijue zikae kimya , huu uzezeta wenu tafuten pa kuupeleka
 
Israeli siku zote anawaua Wapaletina pamoja na kuwepo hayo makubaliano. Israeli ni magaidi yanayo dekezwa na ulimwengu tu.
 
Sawa, ila kipondo kwa Hamas kinaendelea kama kawaida.
 
Hamas wamechinja watoto wa Israel na kuondoka na mama zao kama mateka na wengine wamechomwa 🔥 wakiwa hai ndani ya nyumba lkn jihadists hawaongelei kabisa hayo wao reaction ya Israel ndio wanaona.

Sasa kwa unafiki huo ngoja waisraeli wawachakaze tu hayo magaidi kwa sababu hawana cha kupoteza.
 
Unashabikia
Unashabikia usichokijua
Izo ni facts mkuu... Nimepresent kama zilivyo.
Kuhusu upande mimi sichukui upande wowote. Hii ni baada ya kupitia documentary moja hivi inayoelezea ile ardhi ilivyokaliwa 1000 BC mpaka siku ya leo.

Kiufupi wote palestina na jews kwenye ile ardhi ni kama wamevamia.

Palestinas waliachwa na Ottoman, Jews wakaletwa na Zion Movement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…