Washabiki wa Yanga njooni mjibu maswali haya

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
1. Wanafunz wa kidato cha tano wanauliza kuwa tangu waanze form one mpaka walimaliza Form Four hawajawahi kuona Yanga unachukia ubingwa!! Weng wao wanashaur ishuke daraja,je mnawaambia nn Hawa watoto?

2. Je, hampati aibu kushabkia Tim ambayo haina mbele Wala nyuma?
 
Walianza form one mpaka wakamalza form four bila kuona Yanga ikichukua ubingwa,samahan nlikosea kutype
 
Lakini hao hao mbona hawakuwahi kuhoji ni kwanini tangu walipokua darasa la pili(2012) mpaka wanamaliza darasa la saba(2017) hawakuwahi kuiona simba bingwa?

Iweje leo?
 
Waambie kimya kingi kina mshindo mkuu, mwaka huu haachiwi kombe kolo
 
Lakini hao hao mbona hawakuwahi kuhoji ni kwanini tangu walipokua darasa la pili(2012) mpaka wanamaliza darasa la saba(2017) hawakuwahi kuiona simba bingwa?

Iweje leo?
Taarifa hii sio sahihi ndugu
 
Lakini hao hao mbona hawakuwahi kuhoji ni kwanini tangu walipokua darasa la pili(2012) mpaka wanamaliza darasa la saba(2017) hawakuwahi kuiona simba bingwa?

Iweje leo?
Hiv wew kuuelew mpira ulianza ukiwa na umri gan??? Achen kukwepa aibu,mtoto Kama Ana miaka 3 anakuwa na ufaham kuhusu mpira ??
 
Hiv wew kuuelew mpira ulianza ukiwa na umri gan??? Achen kukwepa aibu,mtoto Kama Ana miaka 3 anakuwa na ufaham kuhusu mpira ??
Sidhani kama mtu akiwa darasa la saba ni mtoto kiasi kwamba hawezi kufuatilia maswala ya soka.

Darasa la saba ni mtu ambaye ana ufahamu kuhusu maswala ya mpira.

Jibu hoja kiongozi..
 
Aya ilete hyo taarifa yako sahihi.
Watoto wanakuwa na uelewa wa mpra wakiwa na miaka angalau 13 ambayo ni miaka ya kuanza form one,kwa hyo tangu watoto Hawa waanze kuelewa kuhusu mpra hawajawah kuiona Yanga ikpata ubingwa
 
Sidhani kama mtu akiwa darasa la saba ni mtoto kiasi kwamba hawezi kufuatilia maswala ya soka.

Darasa la saba ni mtu ambaye ana ufahamu kuhusu maswala ya mpira.

Jibu hoja kiongozi..
Weng wanaanza kufaham wakiwa form one,achen kukwepa aibu,wajibun madogo
 
Watoto wanakuwa na uelewa wa mpra wakiwa na miaka angalau 13 ambayo ni miaka ya kuanza form one,kwa hyo tangu watoto Hawa waanze kuelewa kuhusu mpra hawajawah kuiona Yanga ikpata ubingwa
Em twende taratibu kiongozi..

Miaka 13 huo ni umri wa mtoto wa darasa la saba..

Ambae ameanza darasa la Kwanza akiwa na miaka 6..
 
Kombe tayari wameshapewa na Masai was huko Morogoro.

waambie wasubiri msimu huu uishe halafu waulize tena swali lao!!!
kwani ni lazima kushangilia team unayotaka ww???
 
Hiv wew kuuelew mpira ulianza ukiwa na umri gan??? Achen kukwepa aibu,mtoto Kama Ana miaka 3 anakuwa na ufaham kuhusu mpira ??
Mimi nilianza kuipenda ac milan tokea nipo shule ya msingi mpaka sasa, kuna kale katoto kadogo majuzi tu kabla ya derby ya kariakoo dogo kataja wachezaji wote wa kikosi cha Yanga halafu ukimcheki ni mtoto mdogo wa miaka takribani 7 mpaka 9.

Mpira ni hoby na hoby haifundishiki bali inakuja tu yenyewe. Ukiona mtu mpaka anafika secondary ndio anakuwa na uelewa wa mpira basi huyo kalazisha hoby ya mpira ndio hao utakuta timu yeyote inayoshinda ndio ya kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…