Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Hii Ndo Hadithi Pekee Mliyobaki Nayo, Miaka Minne Yenu Inakuja Pia Mkae Kwa Kutulia. [emoji4]1. Wanafunz wa kidato cha tano wanauliza kuwa tangu waanze form one mpaka walimaliza Form Four hawajawahi kuona Yanga unachukia ubingwa!! Weng wao wanashaur ishuke daraja,je mnawaambia nn Hawa watoto?
2. Je, hampati aibu kushabkia Tim ambayo haina mbele Wala nyuma?
Yanga Haiwez Shuka Daraja Na Wala Mimi Kama Shabiki Wa Chama Kubwa Dar Es Salaam Young Africans Sioni Aibu Yoyote Kushabikia Hili Chama Kwasababu Nadhani Unajua Mayele Alichowafanya Na Anachokifanya Kwa Wenzio Pia [emoji4]Hujajibu kilichoulizwa
Mateke kwanza sio mchezaj wa kimataifa,taifa la Kongo halimtambui,Sasa wew kinachokufanya umwamin ni nn mkuu??Yanga Haiwez Shuka Daraja Na Wala Mimi Kama Shabiki Wa Chama Kubwa Dar Es Salaam Young Africans Sioni Aibu Yoyote Kushabikia Hili Chama Kwasababu Nadhani Unajua Mayele Alichowafanya Na Anachokifanya Kwa Wenzio Pia [emoji4]
Simba wachezaj wake weng ni wa kimataifa,nyiny Yanga wachezaj wenu mnaonunua kutoka nje kwao hawatambuliki,ndio maana mkicheza mech za kimataifa mnaliwa mbele na nyuma,kwa kweli mnatuaibishaga Sana duuu!!Yanga Haiwez Shuka Daraja Na Wala Mimi Kama Shabiki Wa Chama Kubwa Dar Es Salaam Young Africans Sioni Aibu Yoyote Kushabikia Hili Chama Kwasababu Nadhani Unajua Mayele Alichowafanya Na Anachokifanya Kwa Wenzio Pia [emoji4]
Eti Congo Hawamjui Sema Wewe Ndo Humjui, Mayele Kashakuja Hapa Na Timu Ya Taifa Ya Congo Na Akamfunga Huyo Kipa Wako Manula Katika Ushindi Wa Goli 2 Kwa 0 Na Tanzania.Mateke kwanza sio mchezaj wa kimataifa,taifa la Kongo halimtambui,Sasa wew kinachokufanya umwamin ni nn mkuu??
Nyie Huko Kimataifa Mnashinda? Mbona Hatuoni Hayo Makombe?, Af Unasema Yanga Wachezaji Wake Wa Nje Hawajulikani Nakupa HomeWork Kaangalie Tu Profile Ya Saido Ntibanzokiza Af Kama Kuna Mchezaji Wako Yoyote Wa Simba Ana Profile Kama Yake.Simba wachezaj wake weng ni wa kimataifa,nyiny Yanga wachezaj wenu mnaonunua kutoka nje kwao hawatambuliki,ndio maana mkicheza mech za kimataifa mnaliwa mbele na nyuma,kwa kweli mnatuaibishaga Sana duuu!!
Inashangaza. . . . Wote tunajua yanga ina nyuma ambapo kuna mwikoSamahan mkuu
Unamaana gan unaposema yanga Haina mbele Wala nyuma ? Au Haina tako yaan flat screen?
Waombe radhi tafadhari
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kitu gan kilimfanya atemwe kwenye kikos Cha taifa lake?? Na je nyiny Kaz yenu ni kuchukua makopo yaliyotupwa harafu ndo mnaanza kutupgia kelele ??Eti Congo Hawamjui Sema Wewe Ndo Humjui, Mayele Kashakuja Hapa Na Timu Ya Taifa Ya Congo Na Akamfunga Huyo Kipa Wako Manula Katika Ushindi Wa Goli 2 Kwa 0 Na Tanzania.
Darasa la 2 Ana miaka mi 3 hahahaha hizi hesabu za la 3bHiv wew kuuelew mpira ulianza ukiwa na umri gan??? Achen kukwepa aibu,mtoto Kama Ana miaka 3 anakuwa na ufaham kuhusu mpira ??
Wewe ndiyr unayepotosha watu. Jamaa kasema darasa la pili halafu wewe unatumbia mtoto wa darasa la pili ana miaka mitatuAcha kupotosha watu bhana
Wewe ndiyr unayepotosha watu. Jamaa kasema darasa la pili halafu wewe unatumbia mtoto wa darasa la pili ana miaka mitatuView attachment 2136448
Naomba nipe mfano wa mtoto wa miaka miwili aliyeanza darasa la kwanza. Usione humu jf ni sehemu ya kuropoka tu kama upo Facebook. Yaani unaonesha jinsi gani ulivyo mdogo kiumri mpaka kiakili. Hivi unamjua mtoto wa miaka miwili wewe?Sku hiz hata miaka miwil wanaanza la kwanza!! Au unaish Dunia gan mkuu ??