Washabiki wa Yanga njooni mjibu maswali haya

Washabiki wa Yanga njooni mjibu maswali haya

1. Wanafunz wa kidato cha tano wanauliza kuwa tangu waanze form one mpaka walimaliza Form Four hawajawahi kuona Yanga unachukia ubingwa!! Weng wao wanashaur ishuke daraja,je mnawaambia nn Hawa watoto?

2. Je, hampati aibu kushabkia Tim ambayo haina mbele Wala nyuma?
Hii Ndo Hadithi Pekee Mliyobaki Nayo, Miaka Minne Yenu Inakuja Pia Mkae Kwa Kutulia. [emoji4]
 
Yanga Haiwez Shuka Daraja Na Wala Mimi Kama Shabiki Wa Chama Kubwa Dar Es Salaam Young Africans Sioni Aibu Yoyote Kushabikia Hili Chama Kwasababu Nadhani Unajua Mayele Alichowafanya Na Anachokifanya Kwa Wenzio Pia [emoji4]
Mateke kwanza sio mchezaj wa kimataifa,taifa la Kongo halimtambui,Sasa wew kinachokufanya umwamin ni nn mkuu??
 
Mateke kwanza sio mchezaj wa kimataifa,taifa la Kongo halimtambui,Sasa wew kinachokufanya umwamin ni nn mkuu??
Mateke ni Mayele,samahan nimekosea kutype
 
Yanga Haiwez Shuka Daraja Na Wala Mimi Kama Shabiki Wa Chama Kubwa Dar Es Salaam Young Africans Sioni Aibu Yoyote Kushabikia Hili Chama Kwasababu Nadhani Unajua Mayele Alichowafanya Na Anachokifanya Kwa Wenzio Pia [emoji4]
Simba wachezaj wake weng ni wa kimataifa,nyiny Yanga wachezaj wenu mnaonunua kutoka nje kwao hawatambuliki,ndio maana mkicheza mech za kimataifa mnaliwa mbele na nyuma,kwa kweli mnatuaibishaga Sana duuu!!
 
Nyie Huko Kimataifa Mnashinda? Mbona Hatuoni Hayo Makombe?, Af Unasema Yanga Wachezaji Wake Wa Nje Hawajulikani Nakupa HomeWork Kaangalie Tu Profile Ya Saido Ntibanzokiza Af Kama Kuna Mchezaji Wako Yoyote Wa Simba Ana Profile Kama Yake.
 
Kitu gan kilimfanya atemwe kwenye kikos Cha taifa Cha Congo??,na je kwa hyo nyiny Kaz yenu ni kuchukua waliotemwa kwenye kikos Cha taifa??
 
Eti Congo Hawamjui Sema Wewe Ndo Humjui, Mayele Kashakuja Hapa Na Timu Ya Taifa Ya Congo Na Akamfunga Huyo Kipa Wako Manula Katika Ushindi Wa Goli 2 Kwa 0 Na Tanzania.
Kitu gan kilimfanya atemwe kwenye kikos Cha taifa lake?? Na je nyiny Kaz yenu ni kuchukua makopo yaliyotupwa harafu ndo mnaanza kutupgia kelele ??
 
Hiv wew kuuelew mpira ulianza ukiwa na umri gan??? Achen kukwepa aibu,mtoto Kama Ana miaka 3 anakuwa na ufaham kuhusu mpira ??
Darasa la 2 Ana miaka mi 3 hahahaha hizi hesabu za la 3b
 
Acha kupotosha watu bhana
Wewe ndiyr unayepotosha watu. Jamaa kasema darasa la pili halafu wewe unatumbia mtoto wa darasa la pili ana miaka mitatu
IMG_20220302_184922.jpg
 
Sku hiz hata miaka miwil wanaanza la kwanza!! Au unaish Dunia gan mkuu ??
Naomba nipe mfano wa mtoto wa miaka miwili aliyeanza darasa la kwanza. Usione humu jf ni sehemu ya kuropoka tu kama upo Facebook. Yaani unaonesha jinsi gani ulivyo mdogo kiumri mpaka kiakili. Hivi unamjua mtoto wa miaka miwili wewe?
 
Back
Top Bottom