Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
๐๐๐๐ค๐ค๐ค๐คHalf rey
Una utani na mzee kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐ค๐ค๐ค๐คHalf rey
Hakuna mgombea mwenye maono kama JPM. Kuingia kwenye mdahalo na Lissu na Membe ni kujidharirisha.Natamani sana wagombea walio serious hasa wa Ccm, Cdm na Act wafanyiwe mdahalo maalumu . Ili uwezo wa hawa watu uwe wazi kwa kila mTz.
Lakini naamini kijani hawatakuwa tayari .
Huko ni kuogopa kivuli chake. Tumeona midahalo mingi duniani ikiwa proove wrong waliodhaniwa ni ma jinias .Hakuna mgombea mwenye maono kama JPM. Kuingia kwenye mdahalo na Lissu na Membe kujidharirisha.
Je umezingatia hii aya!?Mkuu politics is a serious business siyo kama wengi tunavyo ichukulia na ndiyo maana kuna watu wa ajabu sana wenye elimu ndogo wanashinda wakiwaacha mbali wasomi.
Siasani ni sehemu ya kusikiliza sana ushauri toka kila upande na kuchuja kisha unachukua ushauri mzuri badala ya kushupaza shingo na kuwakejeli wanao kushauri, au kupokea kila unacho shauriwa.
Kwa mfano angalia hii hoja yako hapo chini kisha ipime kwa umakini, kwa maoni yangu (IMHO) hakuna watu wa kimataifa watakao kuja kumpigia kura Lissu. Hao watu wa kimataifa watakuja kumsaidia kumtetea pale tu itakapo onekana kashinda uchaguzi lakini anadhulumiwa waziwazi.
Hata wao wana aibu hawawezi kumsaidia kuingilia kati pale ambapo atakuwa ameanguka vibaya sana kwenye maboksi ya kura kihalali.
Anyway si lazima ushauri upokelewe na huwezi kuzuia watu wasishauri ukizingatia wewe kaulimbiu yako na hoja yako kuu ni demokrasia na uhuru wa maoni.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]nimekupata vema sana..japo hapo kwenye hulka nadhani kwa mchujo na michakato chama iliyopitia naona wamejiridhishaNimeisoma mkuu.
Siyo kwamba mtu anakupangia cha kusema lakini anakuonesha pale ambapo hujaona kwa maana hakuna mtu mkamilifu kama ulivyosema kila mtu na hulka yake.
Anakuonesha hali halisi inakutaka useme na ufanye nini kwa wakati huo. Hulka ya mtu haiwezi kuwa utetezi ukizingatia huyo mtu anaomba tumpe nguvu ya kisheria au uhalali wa kuidhinisha kifo cha mtu kisheria, anaomba tumpe nguvu ya kauli yake aweze kuamrisha watu waende vitani na huko unazungumzia maisha ya watu. Yaani hapo namzungumzia mtu ambae anaweza kuwa raisi na kusaini hukumu ya kifo, anaweza kuwa amiri jeshi mkuu akatuma majeshi yaende vitani kwa neno lake tu.
Such important person must be impeccable with his word, He can not be driven by his own negative or bad characters. Kifupi ni kama kila anayekupa kura anakupa uamue hatima ya maisha yake na ya nduguze wasioweza kupiga kura.
Ikiwa mtu kama huyo anaendeshwa na hulka yake ambayo inaweza kuwa siyo nzuri au siyo rafiki na dhamana kubwa anayopewa inaweza kuwa hatari na majanga kwa taifa.
Natamani sana wagombea walio serious hasa wa Ccm, Cdm na Act wafanyiwe mdahalo maalumu . Ili uwezo wa hawa watu uwe wazi kwa kila mTz.
Lakini naamini kijani hawatakuwa tayari .
Chama hawajakosea kumpa awawakilishe sababu yalikuwa maamuzi ya wengi ndani ya chama tunaamini walikuwa sahihi, muhimu hapo yeye kama mwakilishi wa chama kuna wakati lazima afuate kile alichotumwa na chama.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]nimekupata vema sana..japo hapo kwenye hulka nadhani kwa mchujo na michakato chama iliyopitia naona wamejiridhisha
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]...uwe na usiku mwema...Chama hawajakosea kumpa awawakilishe sababu yalikuwa maamuzi ya wengi ndani ya chama tunaamini walikuwa sahihi, muhimu hapo yeye kama mwakilishi wa chama kuna wakati lazima afuate kile alichotumwa na chama.
Hapo namaanisha chama ndiyo kiratibu afanye nini, wapi na aseme nini, ingawa kuongeza yake binafsi si vibaya mradi ahakikishe haatavuruga malengo na taswira ya chama chake.
Alamsiki mkuu.
Mie bado najishauri..sijui kwanini donda la 2015 bado liko Sana rohoni kwangu...Nilipanga kutoshiriki kupiga Kura mwaka huu, kwa kurejea kwa jembe hili Lazima niwe front line.
Ndiyo maana nasema wallah mwaka huu nimeamua kwenda kudhalilika na foleni la njaa ya kutwa nzima siku ya uchaguzi.Nasubiri baada ya uchaguzi nione komenti zako.
Hahaaaa umemaliza kila kitu na nyengine hiiTangu TUNDU LISSU achaguliwe na chama chake cha CHADEMA kuwania urais wa Jamhuri ya Tanganyika wamejitokeza waswahel washauri wanaomfuatilia kwa karibu mno na kujaribu kushauri kindezi kabisa ama kukosoa kila anachoongea Lissu
Kundi hili ndio lile lililokuwa likijiapiza kuwa Lissu kamwe hawezi kurudi nchini na akithubutu kufanya hivyo ni moja kwa moja selo...hizi tabiri na haya maapizi vyote vimedunda... Lissu is at large..health n sound...!!! Fully energetic...!!!
Zikafuatia shauri na tabiri kuwa hawezi kamwe kuchaguliwa na chama chake kupeperusha bendera ya CDM kwenye kinyanga'anyiro cha urais..fitina, uzushi na mazingaombwe vilikuwa vingi mno...hatimaye kachaguliwa sasa wamebadili gia angani wamegeuka washauri
Chadema sio cha porojo na maneno mingi...wanajua kwanini wamemchagua Lissu.. Ambaye ni mwanasheria nguli ngumu sana kumshinda...mpanga na mpangua hoja makini anayejua kwa hakika anachofanya....
Tunatumia nguvu nyingi kumshauri na kumkosoa mtu ambaye kwasasa ni international figure akiwa kafanya press conference nyingi za kimataifa na kuhudhuria interviews nyingi ambazo amezifanya kwa mafanikio makubwa...
Ndugu yangu wewe kachala uko ghetto na bundle ya msaada uliyefeli hata interview ya who are you unajaribu kumshauri mtu aliyekuzidi kila kitu?
Kuna wakati ni sahihi watu kuandika mitazamo na mawazo yao lakini isifike ukampangia mtu cha kusema ama cha kufanya...kila mmoja ana hulka yake...na hulka hazifanani hata kama nyie ni pacha..
Kwa nyakati tulizonazo kwenye hizi siasa za Tanganyika...hatuhitaji tena mtu linient..ni lazima awepo mmoja mahiri ambaye ni hardcore hasa....waswahel wanaita chuma cha pua...
Lissu ni hardcore na ni fearless...tanuri alilopitia limemuongezea ujasiri wa ajabu..amekuja kwa nyakati sahihi na muda anaotakiwa hasa....kwa siasa hizi za Lissu jina la NYUMBU LITAKOMA....
mungu janja janja ...mungu wa kabari na bisibisi ....mungu wa tofali la kisogo...nyakati sio rafiki tena...sasa ni bandika bandua hoja kwa hoja.....msiwe busy kushauri mpaka mkasahau kuoga....View attachment 1530051