Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Iliskika sauti ya bwana yule.
Ni yeye ni ya ndugu yetu TID wamemdhulumu haki yake..
Ni yeye ni ya ndugu yetu TID wamemdhulumu haki yake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hashim RungweNdiyo maana nasema wallah mwaka huu nimeamua kwenda kudhalilika na foleni la njaa ya kutwa nzima siku ya uchaguzi.
Tufanye sasa hii ni kama ligi.
Nataka kuongeza nguvu ya kukata ngebe mwaka huu, ninataka upande ninaoushabikia ukishindwa uniguse na nijihisi kuwa nimeshindwa mimi.
Ninajua tutashinda kwa haki asubuhi na mapema hata kabla kura hazijamalizika kuhesabiwa, isipokuwa sasa nataka mazingira ya upigaji kura na kuhesabu kuwekwe wazi ili baada ya matokeo mtu asije kuleta fyoko fyoko zake kwa kisingizio cha kuporwa,awe kama amemwagiwa maji ya mtungini asubuhi ya kipupwe atoke ameufyata.
nitamlaani sana yeyote atakayechezesha rafu za matokeo kama ilivyokuwa kwa serikali za mtaa, huyo asivumiliwe na afanywe ni adui na1 wa taifa asulubishwe, tunataka uchaguzi ulio huru na haki.
Mimi nataka Jpm ashinde na atashinda tu kwa sababu upinzani wameshanyang'anyana kura tayari, wameshindwa kuweka mgombea mmoja ili wampigie mbiu ya sapoti.
Eti kila kiongozi wa upinzani anautaka urais!
Wengine aibu watakazoambulia baada ya matokeo, zitafanana kwa karibu na aibu za matokeo ya kura za maoni za wagombea nafasi za kuchaguliwa ubunge!
Hivi kuna faida gani kugombea nafasi ya uraisi huku ukijua kabisa unaenda kushindwa?
Ama ni hizi posho na ruzuku?
Tuombe afya njema Mungu atuwezeshe kufika mwezi wa 10 kutokomeza ubishi huu.
Hata mimi nitafurahi sana kama uhesabuji wa kura vituoni utakuwa kama wa kura za maoni CCM ili kila mtu aone. Hofu yangu sasa, vyama vya upinzani vitakufa Tanzania kwasababu mbinu ya kusema "tumeibiwa kura" ndio inavifanya viendelee kuishi.Ndiyo maana nasema wallah mwaka huu nimeamua kwenda kudhalilika na foleni la njaa ya kutwa nzima siku ya uchaguzi.
Tufanye sasa hii ni kama ligi.
Nataka kuongeza nguvu ya kukata ngebe mwaka huu, ninataka upande ninaoushabikia ukishindwa uniguse na nijihisi kuwa nimeshindwa mimi.
Ninajua tutashinda kwa haki asubuhi na mapema hata kabla kura hazijamalizika kuhesabiwa, isipokuwa sasa nataka mazingira ya upigaji kura na kuhesabu kuwekwe wazi ili baada ya matokeo mtu asije kuleta fyoko fyoko zake kwa kisingizio cha kuporwa,awe kama amemwagiwa maji ya mtungini asubuhi ya kipupwe atoke ameufyata.
nitamlaani sana yeyote atakayechezesha rafu za matokeo kama ilivyokuwa kwa serikali za mtaa, huyo asivumiliwe na afanywe ni adui na1 wa taifa asulubishwe, tunataka uchaguzi ulio huru na haki.
Mimi nataka Jpm ashinde na atashinda tu kwa sababu upinzani wameshanyang'anyana kura tayari, wameshindwa kuweka mgombea mmoja ili wampigie mbiu ya sapoti.
Eti kila kiongozi wa upinzani anautaka urais!
Wengine aibu watakazoambulia baada ya matokeo, zitafanana kwa karibu na aibu za matokeo ya kura za maoni za wagombea nafasi za kuchaguliwa ubunge!
Hivi kuna faida gani kugombea nafasi ya uraisi huku ukijua kabisa unaenda kushindwa?
Ama ni hizi posho na ruzuku?
Tuombe afya njema Mungu atuwezeshe kufika mwezi wa 10 kutokomeza ubishi huu.
Natamani sana wagombea walio serious hasa wa Ccm, Cdm na Act wafanyiwe mdahalo maalumu . Ili uwezo wa hawa watu uwe wazi kwa kila mTz.
Lakini naamini kijani hawatakuwa tayari .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Hahaaaa umemaliza kila kitu na nyengine hii View attachment 1530158
Kipindi cha 'Mchakato Majimboni' ndio kilimuondoa Tido tbccm, hawawezi rudia issue ya midahalo. Meko ni mweupe sana kichwani, watamuacha bila nguo.Natamani sana wagombea walio serious hasa wa Ccm, Cdm na Act wafanyiwe mdahalo maalumu . Ili uwezo wa hawa watu uwe wazi kwa kila mTz.
Lakini naamini kijani hawatakuwa tayari .
Intelijensia makini imeivusha CHADEMA kwenye mitihani mingiHata mimi nitafurahi sana kama uhesabuji wa kura vituoni utakuwa kama wa kura za maoni CCM ili kila mtu aone. Hofu yangu sasa, vyama vya upinzani vitakufa Tanzania kwasababu mbinu ya kusema "tumeibiwa kura" ndio inavifanya viendelee kuishi.
Kama unataka kushuhudia CCM inavyozikwa, washauri Lumumba wenzio waruhusu mfumo huu walioyumia kwenye kura zao za maoni.Hata mimi nitafurahi sana kama uhesabuji wa kura vituoni utakuwa kama wa kura za maoni CCM ili kila mtu aone. Hofu yangu sasa, vyama vya upinzani vitakufa Tanzania kwasababu mbinu ya kusema "tumeibiwa kura" ndio inavifanya viendelee kuishi.
Mkuu hao wanabwatuka tu, baba zao wanaujua ukweli na hawawezi kuruhusu hicho kitu kamwe kitokee maana sio tu watashindwa vibaya bali watapata aibu ya karne.Kama unataka kushuhudia CCM inavyozikwa, washauri Lumumba wenzio waruhusu mfumo huu walioyumia kwenye kura zao za maoni.
Nakuhakikishia kaburi liko wazi kabisa la CCM. Inazikwa Tena asubuhi.
Ningekuwa mgeni JF ningeshtuka. Ningekuwa sijawahi kushiriki moja kwa moja kwenye Uchaguzi Mkuu ningeshtuka.Kama unataka kushuhudia CCM inavyozikwa, washauri Lumumba wenzio waruhusu mfumo huu walioyumia kwenye kura zao za maoni.
Nakuhakikishia kaburi liko wazi kabisa la CCM. Inazikwa Tena asubuhi.
Mkuu legeza moyo nenda kampe kura yako kamanda.Mie bado najishauri..sijui kwanini donda la 2015 bado liko Sana rohoni kwangu...
Mkuu legeza moyo nenda kampe kura yako kamanda.
Kura yako muhimu, inabidi uende uka-cancel kura yangu ambayo nikijaliwa uzima lazima niende kumpa JPM a.k.a Jiwe kama alivyo jiita mwenyewe kwenye moja ya hotuba yake "Mimi jiwe kwelikweli" alisikika akisema.
Sasa wazee wa kufuatilia makosa ya mitandaoni msinisake sijamdhihaki shujaa wangu wa muongo huu 2010 -2020.
Ha haaaNajuafika wewe ni mccm ndo maana
Haya mkuuHa haaa
Huwezi amini siikubali CCM katu, namkubali JPM tu.
Sina mwanachama wa chama chochote na jamaa hawanijui labda kama wamenidukua au jamaa zangu wa karibu ambao wanaujua mwandiko wangu.
Itabidi nikadai changu CCM maana yaonekana nawapigia sana kampeni hapa JF.Najuafika wewe ni mccm ndo maana
😀😀Mkuu mie sitaki posho...nataka ukishikwa mkono nikupenyezee ishu zangu huko juu ...maana kila kitu ni connection ..😆(serious)Itabidi nikadai changu CCM maana yaonekana nawapigia sana kampeni hapa JF.
Mkuu Polepole njoo nitafute kijana mwenzio tuyajenge nami niambulie mabaki mezani pa wakubwa nyie. Kama Prof. PK kasema katolewa jalalani inabidi nami mnitoe kwenye dustbin..🤣🤣
Mkuu Wangari Maathai wakinikumbuka lazima nikupunguzie mafao nimetumia post yako kuombea mafao. Kujipendekeza nako deal siku hizi..