Uchaguzi 2020 Washauri wa Lissu mitandaoni wana tatizo kubwa la kiufahamu

Uchaguzi 2020 Washauri wa Lissu mitandaoni wana tatizo kubwa la kiufahamu

Halafu JF ina wanachama kama wajumbe. Mtandaoni watakupamba kinyamaa halafu wakifika mbele ya sanduku la kura peke yao wanakufyekelea mbalii
Ndio hivo mkuu hata ukiwa makalio wazi watakusifia tu kuwa umevaa nguo, Bora wasema kweli wasio wanafiki. Wanachama humu ka wajumbe aka kamati ya roho mbaya
 
Dah kuna watu wabishi kiimani aisee. Hivi kweli kabisa unaamini Lissu atamshinda JPM?? Aisee huu muujiza huu nausubiri, Mungu atuweke hai tu tuishuhudie hiyo siku

Kaka usisumbuke kupata jibu la swali lako, huyu amekuja kwa lengo kuwa akifika atawekwa rock-up ili wapate cha kuropokea, ss serikari iko makini.

Lissu atapigwa kwanza kwenye uchaguzi then anakula mvua baada ya uchaguzi.

Hili hata yy kadhibitisha.
 
Kuna Hardtalk moja ya BBC na Mh Lissu kuhusu Homosexuality...pale nilifunga imani yangu yote kwake yule msela
Ushawahi kufuatilia tacaids wanachukua hatua gani kuhusu homosexual...... km hujui vitu kaa kimya ujifunze... usilete mitazamo na maneno ya wanasiasa....
 
Moja ya vitu anajivunia Mbowe pale chadema ni kuwa na wafuasi mbumbumbu
Hivi umbumbumbu wa vijana wa CHADEMA utalinganisha na walivyo vijana wa Lumumba? CCM kuna upungufu wa vijana wenye akili!
 
Dah kuna watu wabishi kiimani aisee. Hivi kweli kabisa unaamini Lissu atamshinda JPM?? Aisee huu muujiza huu nausubiri, Mungu atuweke hai tu tuishuhudie hiyo siku
Imeshatangazwa mkuu kwamba Lissu anashinda kura lakini mtu wenu anashinda uchaguzi! Subirini mwone kama Magu atatoboza! Hapendwi na wananchi kivile! Madhiraa aliyowasababishia raia siyo kabisa!!
 
Naona ile team imeshajipanga sasa lakini badala ya kujibu hoja naona ni mipasho na kurukaruka kama bisi kikaangoni
 
LISSU TU NDIO ATAFANYA NIKAPANGE MSITARI KUPIGA KURA, OTHERWISE NINGELALA, LOWASA NILIENDA KUPIGA KURA MAPEMA, THEN MAMBO YA AJABU YANAFANYIKA MGOMBEA MZIMA ANAKAA KIMYA KAMA DOREMIFALA
 
Back
Top Bottom