Uchaguzi 2020 Washauri wa Lissu mitandaoni wana tatizo kubwa la kiufahamu

Iliskika sauti ya bwana yule.

Ni yeye ni ya ndugu yetu TID wamemdhulumu haki yake..
 
Hashim Rungwe
 
Hata mimi nitafurahi sana kama uhesabuji wa kura vituoni utakuwa kama wa kura za maoni CCM ili kila mtu aone. Hofu yangu sasa, vyama vya upinzani vitakufa Tanzania kwasababu mbinu ya kusema "tumeibiwa kura" ndio inavifanya viendelee kuishi.
 
Natamani sana wagombea walio serious hasa wa Ccm, Cdm na Act wafanyiwe mdahalo maalumu . Ili uwezo wa hawa watu uwe wazi kwa kila mTz.

Lakini naamini kijani hawatakuwa tayari .

Walishasepa tayari hata kabla ya wazo la mdahalo kutoka.
 
Natamani sana wagombea walio serious hasa wa Ccm, Cdm na Act wafanyiwe mdahalo maalumu . Ili uwezo wa hawa watu uwe wazi kwa kila mTz.

Lakini naamini kijani hawatakuwa tayari .
Kipindi cha 'Mchakato Majimboni' ndio kilimuondoa Tido tbccm, hawawezi rudia issue ya midahalo. Meko ni mweupe sana kichwani, watamuacha bila nguo.
 
Hata mimi nitafurahi sana kama uhesabuji wa kura vituoni utakuwa kama wa kura za maoni CCM ili kila mtu aone. Hofu yangu sasa, vyama vya upinzani vitakufa Tanzania kwasababu mbinu ya kusema "tumeibiwa kura" ndio inavifanya viendelee kuishi.
Kama unataka kushuhudia CCM inavyozikwa, washauri Lumumba wenzio waruhusu mfumo huu walioyumia kwenye kura zao za maoni.

Nakuhakikishia kaburi liko wazi kabisa la CCM. Inazikwa Tena asubuhi.
 
Kama unataka kushuhudia CCM inavyozikwa, washauri Lumumba wenzio waruhusu mfumo huu walioyumia kwenye kura zao za maoni.

Nakuhakikishia kaburi liko wazi kabisa la CCM. Inazikwa Tena asubuhi.
Mkuu hao wanabwatuka tu, baba zao wanaujua ukweli na hawawezi kuruhusu hicho kitu kamwe kitokee maana sio tu watashindwa vibaya bali watapata aibu ya karne.
 
Kama unataka kushuhudia CCM inavyozikwa, washauri Lumumba wenzio waruhusu mfumo huu walioyumia kwenye kura zao za maoni.

Nakuhakikishia kaburi liko wazi kabisa la CCM. Inazikwa Tena asubuhi.
Ningekuwa mgeni JF ningeshtuka. Ningekuwa sijawahi kushiriki moja kwa moja kwenye Uchaguzi Mkuu ningeshtuka.
 
Mie bado najishauri..sijui kwanini donda la 2015 bado liko Sana rohoni kwangu...
Mkuu legeza moyo nenda kampe kura yako kamanda.
Kura yako muhimu, inabidi uende uka-cancel kura yangu ambayo nikijaliwa uzima lazima niende kumpa JPM a.k.a Jiwe kama alivyo jiita mwenyewe kwenye moja ya hotuba yake "Mimi jiwe kwelikweli" alisikika akisema.

Sasa wazee wa kufuatilia makosa ya mitandaoni msinisake sijamdhihaki shujaa wangu wa muongo huu 2010 -2020.
 
Najuafika wewe ni mccm ndo maana
 
Sio kila watu wanao mshauri lisu hawamtakii mema, wengi ni kwa Nia njia na kumsaidia maana saa nyingine ukiangalia Jambo kiushabiki huwezi kuona mapungufu utajiona uko sahihi kumbe ur wrong. Achukulie ushauri in constructive way maana lisu Kuna Mambo kazidi too much talking Sasa matokeo yake watu wanajua upinzani wako kifujo fujo, aepuke kuwapa adui point za weakness zake bure.
NB Mimi sifungamani na itikadi ya Chama chochote eeeh napenda kuandika Mambo kwa angle tofauti tofauti
 
Najuafika wewe ni mccm ndo maana
Itabidi nikadai changu CCM maana yaonekana nawapigia sana kampeni hapa JF.

Mkuu Polepole njoo nitafute kijana mwenzio tuyajenge nami niambulie mabaki mezani pa wakubwa nyie. Kama Prof. PK kasema katolewa jalalani inabidi nami mnitoe kwenye dustbin..🤣🤣

Mkuu Wangari Maathai wakinikumbuka lazima nikupunguzie mafao nimetumia post yako kuombea mafao. Kujipendekeza nako deal siku hizi..
 
😀😀Mkuu mie sitaki posho...nataka ukishikwa mkono nikupenyezee ishu zangu huko juu ...maana kila kitu ni connection ..😆(serious)
 
Inaonekana mheshimiwa ni mchangiaji mzuri, ila una kasoro ya ushabiki badala kujikita kwenye uchambuzi wa kila mgombea. Kumbuka kuwa wapiga kura ni watanzania tena wengi wao ni vijijini hawajui wa kimataifa.

Hivi huwa mnafanya utafiti kwa ujumla wao. Labda nikusaidie ni uchaguzi wa 2020 ni mwepesi kuliko ule 2015 ambao mgombea wa CDM alikuwa na nguvu mpaka kutoka chama tawala na kuwa mgombea mmoja upinzani sembuse huu unaokuja ambao mgombea wenu anategemea wanaChadema halafu kwa wagombea kibao.

Wapiga kura kwa mujibu tume ya uchaguzi ni 29 milioni, hao Lumumba (CCM) wanawachama zaidi ya 15 milioni kwa hiyo waliobaki ndio mgawane upinzani, hata kama Wana Lumumba watapigia upinzani jioni kama wanaweza kumpigia wa ACT Wazalendo? Hao ni kwa mtazamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…