Uchaguzi 2020 Washauri wa Lissu mitandaoni wana tatizo kubwa la kiufahamu

Asante kwa maoni na mtazamo ..umejitahidi sana kuweka mizania lakini bado mahaba ya upande fulani yakakuzidi nguvu...sio kesi kwakuwa ni ngumu mno kuwa neutral kwenye hizi mambo
 
Ila mkuu kusema ukweli Lissu ajikite kuelezea atatuvushaje hapa tulipo? Siyo lazima aanze kuponda vile vilivyofanywa na CCM, nchi hii wajinga bado wengi wanaoona kujenga mamiundombinu ndio kamaliza. Hivyo akianza kuyaponda hayo mamiundombinu ataharibu! Atueleze namna gani ataleta ajira kwa vijana, mikopo kwa wanafunzi wote, mishahara iliyoboreshwa, uhuru wa kujieleza n.k.
Asante kwa maoni na mtazamo ..umejitahidi sana kuweka mizania lakini bado mahaba ya upande fulani yakakuzidi nguvu...sio kesi kwakuwa ni ngumu mno kuwa neutral kwenye hizi mambo
 
Moja ya vitu anajivunia Mbowe pale chadema ni kuwa na wafuasi mbumbumbu
 
Kama mlitegeshea hilo mpate pakuropokea mmedunda, ngoja apigwe kwanza kwenye uchaguxi harafu apambane na kesi zake.
 
Muulize kwanza hapo mwanzo alisema ahakikishiwe usalama wake na serikali ndipo atakuja ,swali je sasa amehakikishiwa usalama,mlaumu Tundu Lissu kwa uoga na unafiki wake na si watu wa mitandaoni.
 
Winning an election is a lengthy, methodical and track record-driven process. It ain’t a crash program!

I can only advise you to perform a postmortem review after October 2020. You may be disappointed and ashamed...
 
Mkuu hao wanabwatuka tu, baba zao wanaujua ukweli na hawawezi kuruhusu hicho kitu kamwe kitokee maana sio tu watashindwa vibaya bali watapata aibu ya karne.

Dah kuna watu wabishi kiimani aisee. Hivi kweli kabisa unaamini Lissu atamshinda JPM?? Aisee huu muujiza huu nausubiri, Mungu atuweke hai tu tuishuhudie hiyo siku
 
Halafu JF ina wanachama kama wajumbe. Mtandaoni watakupamba kinyamaa halafu wakifika mbele ya sanduku la kura peke yao wanakufyekelea mbalii
 
Dah kuna watu wabishi kiimani aisee. Hivi kweli kabisa unaamini Lissu atamshinda JPM?? Aisee huu muujiza huu nausubiri, Mungu atuweke hai tu tuishuhudie hiyo siku

Hahaha... Umeona eeh? Kuna watu wanadhani huu ni uchaguzi wa kamanda wa guerilla fighters!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…