Ndio hivo mkuu hata ukiwa makalio wazi watakusifia tu kuwa umevaa nguo, Bora wasema kweli wasio wanafiki. Wanachama humu ka wajumbe aka kamati ya roho mbayaHalafu JF ina wanachama kama wajumbe. Mtandaoni watakupamba kinyamaa halafu wakifika mbele ya sanduku la kura peke yao wanakufyekelea mbalii
Dah kuna watu wabishi kiimani aisee. Hivi kweli kabisa unaamini Lissu atamshinda JPM?? Aisee huu muujiza huu nausubiri, Mungu atuweke hai tu tuishuhudie hiyo siku
Ushawahi kufuatilia tacaids wanachukua hatua gani kuhusu homosexual...... km hujui vitu kaa kimya ujifunze... usilete mitazamo na maneno ya wanasiasa....Kuna Hardtalk moja ya BBC na Mh Lissu kuhusu Homosexuality...pale nilifunga imani yangu yote kwake yule msela
Hivi umbumbumbu wa vijana wa CHADEMA utalinganisha na walivyo vijana wa Lumumba? CCM kuna upungufu wa vijana wenye akili!Moja ya vitu anajivunia Mbowe pale chadema ni kuwa na wafuasi mbumbumbu
Imeshatangazwa mkuu kwamba Lissu anashinda kura lakini mtu wenu anashinda uchaguzi! Subirini mwone kama Magu atatoboza! Hapendwi na wananchi kivile! Madhiraa aliyowasababishia raia siyo kabisa!!Dah kuna watu wabishi kiimani aisee. Hivi kweli kabisa unaamini Lissu atamshinda JPM?? Aisee huu muujiza huu nausubiri, Mungu atuweke hai tu tuishuhudie hiyo siku
Nitajitahidi kuzitafuta nikutag mkuu.Ukiziona nitag